Haya ndio majibu ya Mh. Zitto ya kukosekana kwenye m4c

Mwacheni apumzike,na si lazima zito awepo ndo cdm yenu iwepo.Jipangeni vzuri tu wala msiteteleke na chama kinajengwa na watu/wanachama na cyo mtu.Zito anaweza akaenda ata nccr au ccm akiamua lakini cha mhimu msikae kulalamika eti anawahujumu ikiwezekana fanyeni maamzi magumu najua hata jamii itawaunga mkono.
 
"I am in Sri Lanka for a Commonwealth Parliamentary Association meeting."

sijui kama zito anajua kuwa Mwangosi RIP kapigwa bomu na kufariki dunia,

sijui kama zito anajua kuwa mwangosi hatapata tena nafasi aliyoipenda, ya kuripoti vuguvugu la mabadiliko.

sijui kama zito anajua kuwa tunajua mabadiliko tunayoyapigania hayajapatikana bado.

Sijui kama zito anajua kuwa tunajua kwamba hakuna wakati wa kupoteza wala kupumzika mpaka mabadiliko tunayoyataka yapatikane.

Sijui kama zito anajua kuwa tunajua kwamba ni kura zetu na wala si za commonwealthian, ndizo zitaleta mabadiliko tunayoyataka.

Sijui kama zito anajua kuwa tunajua kuwa akili yake imehongwa, uelewa wake umekengeuka na ubinadamu wake si wa roho tena bali wa kutumia akili.

Kweli ni sikitiko kuu.
A fallen hero!!!!!
Always used to be proud of himself being on the front line. GOOOOOONE!
 
Hayo aliyorusha Zitto ni madongo mazito sana, kwa mwenye kuelewa.

"Sitaki kusema chochote. Ninachosema ni kuwa 1) those who risked 2) those free riders (in public finance)"

Kina nani hao, gwandas fungukeni, ni wale wanaokikopa chama?
 
Kama Six alivyosema, CDM kina safu nyembamba...akikosekana Nyerere wao (M-bowe), Kawawa wao(Kabwez) ama Kingungez wao (S-laa) inakuwa issue au shughuli haiendi?...Kila shughuli lazima wote hao washiriki....hope hiyo ndiyo itakuwa safu baraza letu la mawaziri 2015...Hi Zitto in DCM you to play all positions all the time, otherwise U will be Kolimbared.
 
siyo kweli kwamba majembe yote ya chama yapo kweny mikutano ya m4c, wote wakienda kwenye mikutano ya m4c majukumu mengine ya chama yatatekelezwa na kina nani jamani. lazima kuwe na mgawanyiko wa kazi ndugu zangu. after raw kamanda zitto ni mtu wa takwimi na siyo mzuri kwenye siasa za majukwaani!!!!
 
Nadhani watu wana wasiwasi na zitto sana, he is just a person, he cant equal the cause, alikuta wanatafuta maendeleo ya nchi, akapitch in huko cdm, atakufa aache vizazi vinaendeleza. Sie wote ni the same.
 
Kwenye mambo ya kisiasa, ethically... mawazo binafsi huishia ndani ya vikao vya ndani vya chama, huku nje mnatekeleza mikakati ya chama "Collectively" kama chama kimoja chenye kauli moja kuhusu mambo fulani. Kama ni kusema tumwachie maisha yake basi aache siasa akafanye mambo yake na familia yake anakotaka, hakuna atakayemfuatilia kama hatojaribu kuwashawishi wenzake aliowaacha. Zitto ni mjinga mmoja (mjinga sio tusi - maana yake hajui analofanya) anayetumika kujaribu kudhoofisha CDM, it is just a matter of time kwasababu hawezi kuzuia chochote pamoja na hao mabosi wake wanaojaribu kumdanganya kwamba "things are under control"..!
 
Kasema ukweli

Ukweli ambao nauona kasema hapa ni kwamba kauthibitishia umma kwamba ni kweli hashiriki kwenye M4C.

Kwahiyo hilo halina mjadala tena. Pia inaonekana ameamua kususia kusudi, si unaona anasema ameshachangia kuiinua CHADEMA ambayo mwanzo ilikuwa "IPO KAMA HAIPO" i.e obscurity. Nahisi anaashira sasa ni zamu ya wengine kwasababu wakati yeye yuko busy kujenga chama wengine walikuwa wamejikita kwenye kunufaika na mfumo wa serikali uliopo

My advice: DON'T SHIT WHERE YOU EAT, ZZK
 
I admired Zitto, the things he he did then, are not his priority any more. Or are they in a different platform?
We all knew he had potential in politics, it does not have to be a political party, but a politician must be on ppl ears, with motivating, acceptable, positive, innovative news. Or else he is forgotten.
He is NOT in our ears, wrting might be his hobby, but few in TZ will read that.
Zitto is however wrong thinking he made chadema, chadema made him. But he is right if he believes that he can be where he chooses, at his cost.
 
Mwaka 2005 ... 51.1% Mwaka 2010. 48.57% Mnafiki Zitto anapanda ama anashuka?

Huwezi kujua kama anapanda au kushuka kwa kuangalia % peke yake. Kuna factor nyingine nyingi tu ambazo zitakupatia angalizo lingine. Mfano, Idadi ya wagombea kutoka vyama vya upinzani waliongezeka, hii labda ilisababisha kura za upinzani wazigawane. Labda hata uchakachuaji ilifanyika, ndiyo maana kulikuwa na matatizo ya watu kupambana na polisi wakati wa kura zikihesabiwa.

Haya ni mawazo yangu tu, unaweza kuyapinga
 
tuache unafiki,kijiko tukiite kijiko na spade liitwe spade;

ukubali ukatae ila ukweli ni kuwa ZIto umekuwa hauaminiki na umekuwa hauaminiki kwa kuwa umekuwa mnafiki( sorry but I have to say it).

Kwa uchache tu labda Zito na pro-zito's msaidie kufafanua viswali vifuatavyo;

1)Kwa nini unaungwa sana mkono kwa vitendo vyako na kutetewa na CCM(pro ccm) ili hali ni hao hao ndio walikusurubugu bungeni kwenye sakata la Buzwagi na bunge lililopita wamekufunulia pazia ukiwa maliwatoni kwa tuhuma za kuhongwa??

2)Kwa nini agenda ya raisi ajaye awe kijana ilitolewa kwa mara ya kwanza na jeykey kule kigoma akiwa na wewe kabla
hamjaambatana kwenda kwenye uhuru wa south sudan (is it a coincidence??)

3) kwa nini uchaguzi wa uraisi uliopita jeykey aliliruka jimbo lako kwa kutokufanya kampeni??

4) kama kweli sio mnafiki na mzandiki,ulitangaza kugombea uraisi kwa mara ya kwanza wazi wazi wenzio wakiwa Arumeru we ukiwa dar na kisha tena ndani ya bunge juzi kati ukiacha ile drama yako ya kale katamasha ka "leka uzandiki" kule Kigoma kwa mgawanyo au utaratibu upi kama sio kuleta diversion??

5) asilimia kubwa ya mali zako kama vile magari na vingnevyo kwa namna moja umevipata kupitia mgongo wa watu wa CCM,poac,kamati za migodi nk,kwa nini?? simply kwa kuwa kuwa kwenye wabunge wote wa upinzani we ndio smart sana na perfect??

KWA UFUPI KWA USHAHIDI WA MAZINGIRA NA VITEDO;
1) Umeingizwa kwenye mtego ili usaidie kuibomoa CDM kwa wewe kukujenga na kukufany uvimbe kichwa

2) wakati wakikujenga wamekuwa wanakunasabisha na matendo maovu kama vile matumizi mabaya ya mali za uma(mfano umekuwa ukitanua na helcopters za TANAPA) ILI UKAMATIKE VIZURI KWA KUKUAMBUKIZA ELEMENZTI ZA UBINAFSI NA UFISADI ILI KUUA MOYO WAKO WA UZALENDO ULIOKUWA NAO NA KWA HILO WAMESHAFANIKIWA!!

3) wamekujenga baada ya kukuona ulikuwa na msimamo tishio na kitakachofuata ni kukubomoa endapo hautakidhi matakwa yao ya kusaidia kuiua nguvu cdm kwani washaweka mezani vingi wakiwa na wewe nyuma ya pazia kwa hiyo wanajua wakianza kula na wewe wataanzia kukumega wapi kama utakaidi na kugeuka

4) UDINI umeshaanza kuukumbatia na wewe kwa kuwa unalishwa na hao allience wako lakini jiulize tu mbona hawakukufuata tangu zamani wakati CHADEMA ikiwa sio tishio?? Hivi kweli propaganda za uduni zimeanzia kwa CHADEMA?? (kumbuka cuf), na wewe ni shuhuda wa matokeo ya kura za uraisi na makubaliano ya numa ya pazia kati ya cuf na ccm,bahati nzuri ulikuwa wa kwanza kuayuka ukwelihuo wazi wazi siku ile hamad raship alipotishiwa kuvuliwa ubunge kula Zanzibar kwa kumshutumu Seif amekuwa mbinafsi na msaliti

SAA NYINGINE NASHINDWA KUELEWA KUWA HULKA YA UZANDIKI NA UNAFIKI ULIKUWA UMEIFICHA AMA UMEAMBUKIZWA NA KUFUNZWA NA SWAHIBA YAKO UNAEMABATANA NAE NJE (MFNO SOUTH SUDAN,ETHIOPIA NK)!!!
 
Duh,kitu kimoja kuhusu Zitto ni UKWELI na KUJIAMINI,na nafikiri hakuna awezaye kumwondolea hivo vipaji Mungu alivompa....mnamchokoza weeeeeeeeeee,lakini akiwapa ukweli mnakereka!

tofautisha kati ya kujiamini na kiburi, pia kati ya ukweli na unafiki.

Rudi darasani.
 
Huwezi kujua kama anapanda au kushuka kwa kuangalia % peke yake. Kuna factor nyingine nyingi tu ambazo zitakupatia angalizo lingine. Mfano, Idadi ya wagombea kutoka vyama vya upinzani waliongezeka, hii labda ilisababisha kura za upinzani wazigawane. Labda hata uchakachuaji ilifanyika, ndiyo maana kulikuwa na matatizo ya watu kupambana na polisi wakati wa kura zikihesabiwa.

Haya ni mawazo yangu tu, unaweza kuyapinga
Mawazo yako nayapinga kwa nguvu zote unless uni-convince otherwise, je na JK ambaye mwaka 2005 alishinda kwa %80 + je ni nani aliyechakachuwa kura za JK mwaka 2010 na kusababisha JK kupata 60% tena yenye mashaka makubwa mpaka leo hii!!??
 
siyo kweli kwamba majembe yote ya chama yapo kweny mikutano ya m4c, wote wakienda kwenye mikutano ya m4c majukumu mengine ya chama yatatekelezwa na kina nani jamani. lazima kuwe na mgawanyiko wa kazi ndugu zangu. after raw kamanda zitto ni mtu wa takwimi na siyo mzuri kwenye siasa za majukwaani!!!!

Sijakupata vzr kwenye red
 
Ukweli husemwa:

Kuna watu humu wanafikili ni rahisi tu kumtosa Zitto Kabwe nje ya chama.

Kuna watu humu wangependa/wanapenda kuifuta historia ya Zitto ndani ya chama.

Kuna watu humu kwa wivu wanaoujua wao, wangependa/wanapenda Zitto afutike kwenye uso wa siasa.

Kinadharia, hakuna mwanachama ambaye ni zaidi ya chama. Lakini practically, wapo wanachama katika vyama ambao ni zaidi ya chama walichopo. Katika CDM, mmojawapo ni Zitto. Hakuna mwanachama ndani ya CDM mwenye ubavu wa kumtosa nje ya chama. Zitto analijua hilo na anapenda watu wajue hivyo kupitia kwenye statement zake anazozitoa kama hii kwenye twitter.

Tutabaki kupiga kelele tu hapa, ni Zitto tu ndiye mwenye maamuzi ya kuondoka au kubaki. Ndiyo maana hata viongozi wengine wako kimya.

Unaweza kutokubaliana na mawazo yangu.
 
Mambo mengine yanaongozwa na chuki binafsi sasa, maisha ya mtu binafsi kama Zitto ni zaidi ya siasa! Unless otherwise mtu una agenda ya siri lakini kwa mtazamo wangu, anahaki ya kufamya maisha yake anavyotaka ilimradi havunji sheria na kanuni za chama. kama itagundulika vinginevyo, si wamchukulie hatua?
 
Huwezi kujua kama anapanda au kushuka kwa kuangalia % peke yake. Kuna factor nyingine nyingi tu ambazo zitakupatia angalizo lingine. Mfano, Idadi ya wagombea kutoka vyama vya upinzani waliongezeka, hii labda ilisababisha kura za upinzani wazigawane. Labda hata uchakachuaji ilifanyika, ndiyo maana kulikuwa na matatizo ya watu kupambana na polisi wakati wa kura zikihesabiwa.

Haya ni mawazo yangu tu, unaweza kuyapinga

Mkuu wangu nakubaliana nawe, lakini kwa vyovyote vile huyu kilichomshusha ni unafiki wake kabla hajaenda kugombea alisumbua sana vichwa vya watu mara alitaka Geita mara kinodini, mara kawe kwa unafiki huo mpaka sasa hajielewi ni CCM ama CHEDEMA that why muda wote anashirikiana na TISS na Policcm kufanya mauwaji na kudhuufisha M4C
 
Back
Top Bottom