Haya nayo jee?

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
115
Salamu si utwana kwa muungwana!nawasalimu nduguzangu.....basi ni hivi kuna maswali naomba niulize!

Wewe unarafiki wa kike/wakiume!ambae ni jinsia tofauti? Je hamjawai kutamaniana kimapendi kabla ya urafiki na hata baada ya urafi
Jaribu kutuambia muda mliokaa kama marafiki na sababu zilizo kufanya uwe na uakifi na huyo rafiki yako.......

Hususani mazingira ya nyumbani sio kazini wala kwa maswala ya kibiashara........

Kwanini marafiki wewe na huyo rafiki yako!
 
mhm...mie tulikuwa marafiki na dada mmoja wa kihindi tena close kweli baada ya muda tulianza develop feelings ila huyu mwezangu aliniambia wazi kabisa kuwa u know i have feelings for u but we cnt do anything lah sivyo nyumbani nisamehe kuwa na ndugu for the rest of my life ama wewe utauliwa na kaka zangu.
 
Mbona kuna wahindi kibao wameolewa na waswahili mkuu...wewe ulikutana na huyo mdosi nchi gani mkuu
 
Namshangaa maana hata mimi nilishamgonga sana demu wa kidosi shuleni.....!
 
Salamu si utwana kwa muungwana!nawasalimu nduguzangu.....basi ni hivi kuna maswali naomba niulize!

Wewe unarafiki wa kike/wakiume!ambae ni jinsia tofauti? Je hamjawai kutamaniana kimapendi kabla ya urafiki na hata baada ya urafi
Jaribu kutuambia muda mliokaa kama marafiki na sababu zilizo kufanya uwe na uakifi na huyo rafiki yako.......

Hususani mazingira ya nyumbani sio kazini wala kwa maswala ya kibiashara........

Kwanini marafiki wewe na huyo rafiki yako!

Mimi nina rafiki wa kiume, ni great company hasa nikiwa home! Outings pamoja,story kwa sana ila MIMI SINA FEELINGS ZOZOTE KWAKE SIJUI KWA YEYE KAMA ANANIFEEL!
Imetokea tu tukawa marafiki, nothing special
 
Back
Top Bottom