Halafu ni mzungu. Mimi nilidhani shida wanazo weusi tu kumbeeee!!
unavua mpaka soksi kama huamini soksi zakoduh.....pia viatu huwa vinaficha soksi zilizotoboka...kuumbuka kunakuja pale unapoenda kwa watu halafu unalazimika kuvua viatu......
Kulikuwa na nini?