Haya mavazi jamani tuyachukulie tahadhari kwani yanatuharibu!

LEGE na RDI, kulikoni mbona kimya utetezi wa hoja zenu umekosa mashiko?

This is JF DOCTOR forum, sehemu kubwa ni sayansi. Sayansi inataka uwasilishe kitu kilichofanyiwa utafiti wa kisayansi au kuthibishwa kisayansi (scientifically proven). Kinyume cha hapo itakuwa ni myth or folklore.
 
tunakusanya ushahidi wakutosha.

Kwangu binafsi na uhakika na nilichokiandika kuwa mwanaume ukivaa ngua za kubana sana mda wote huwa zinapunguza production ya sperm je na hilo utabisha @mnyamahodzo
 
I disagree. Doesn't reduce sperm production, may be you can talk about quality of sperms with exclusion of sperm concentration.
 
Uume pamoja na pumbu zipo nje ya mwili wa mwanaume na huwa zinahitaji joto la kutosha ili kutengeneza sperms ndiyo maana wanaume wanatakiwa kuvaa chupi zinazobana vizuri ili kutunza joto, ila wanawake wanahitaji hewa ya kutosha kwenye viungo vyao vya uzazi kwa kuwa vipo kwa ndani.
 
Back
Top Bottom