Haya mavazi huwa yanawapendeza sana wadada!!

Mambo mengi muhimu ni ule utamu wa ndani unaolingana au kuendana na mwonekano wa nje. Wengi wetu tumeishia kujilaumu kwa kupoteza muda na fedha. Tunachokiona na kuonja kwa ndani hakifanani hata kwa robo na kile cha nje.

kwani ndani kuna nin mkuu?
 
Mambo mengi muhimu ni ule utamu wa ndani unaolingana au kuendana na mwonekano wa nje. Wengi wetu tumeishia kujilaumu kwa kupoteza muda na fedha. Tunachokiona na kuonja kwa ndani hakifanani hata kwa robo na kile cha nje.
Tatizo figure nyingi ni feki zipo kichina zaidi,Angalia sofa la kichina ukiliangalia kwa nje saafiiii,ukilinunua tu feki.
Kaka tulia na shemu tu.
 
dah! we mkali mno,mwenzio mpaka nione chupi ndio huwa akili inanivurugika.Nalog off
 
Wadau,me cjui nina ugonjwa gani,yani kila nkiona mdada amevaa kipedo au skin jeans afu awe na figure flani hvi nzur huwa nadata.

Authentic-Brazilian-Butt-Lift-Jeans-Tall-girls-Plus-Size-00-to-34-and-custom-sizes-welcome-291258_image.jpg
 
Back
Top Bottom