Haya marekebisho yamechanganya PM zangu na za wafuatao...

Last edited by a moderator:
Hahahahaha. . . mnalo!!

We Bishanga yako yamekushinda ya mama na baba Ashrat ndio utayaweza?

Kongosho X Wifi. . kwani wazazi wa Ashrat wanapanga kulipua JF?
Raha iliyoje kwenye ka red hapo! nimefurahiaje? kumbe ngosha katupwa kureeeeee.. Kongosho habari ndo hiyo,na ukome sasa na kimbelembele chako cha wifi wifi wifi wifiiiii,serves you right.
 
Last edited by a moderator:
Raha iliyoje kwenye ka red hapo! nimefurahiaje? kumbe ngosha katupwa kureeeeee.. Kongosho habari ndo hiyo,na ukome sasa na kimbelembele chako cha wifi wifi wifi wifiiiii,serves you right.

Hahahahhaha. . . hataaa!!
Nimemtaliki Konnie tu maana kanizidi nguvu. . eti alinichongea kwa kaka yake.
 
Last edited by a moderator:
unadhani ndo atakuja kwako?

Unajidanganya tu.

Back
Top Bottom