Haya mapenzi ya enzi za jk haya! Ingekua wewe ungefanyaje?

using'ang'anie kitu ambacho kimeshaonesha dosari, achana nae, lakini mwambie ukweli kuwa unafahamu hiyo ni dawa ya fungus ukeni, halafu msikilize atajibu nini.
 
using'ang'anie kitu ambacho kimeshaonesha dosari, achana nae, lakini mwambie ukweli kuwa unafahamu hiyo ni dawa ya fungus ukeni, halafu msikilize atajibu nini.

Mi naona nkimtel atakuacomfotable mybe nimuulize anaumwa ugonjwa gan?
 
Jifunze kuandika miandiko ya watu wazima km jf member,mwandiko wako wa kifb haueleweki!namaan hivyo vifupi vyako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom