Haya mapenzi ya enzi za jk haya! Ingekua wewe ungefanyaje?

Kapax

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
215
21
Hapa kuna mapenz au nin leo nimemsindikiza hospital thn akapima akanitel haumwi ki2 alafu amepewa dawa kuzisoma ni ya viginer duu nika jifanya sijui kumuuliza akantel niya rashez mi nikavunga.

Huyu msichana sijui vp jaman
yan yeye nikimwomba ni meet naye anaulizia hela kila ki2 yeye ni hela alafu ni mwongo sana.
Naomben msaada huyu m2 nimweke kundi gan?
 
Mweke kundi la wazinzi ambalo wewe ni member pia.
 
Kwani kwa doctor aliingia mwenyewe?
Pole mkuu

Asante aliingia mwenyewe siunajua tena nika msubir 2kaenda laboratory baadaye matokeo kutoka akanitel et hamna tatizo thn amepewa dawa hzo! Mkuu ni mweleweje coz zle dawa ni za vaginal. Cause zimeandikwa viginal cream!
 
Dah muulize na umwambie wasiwasi wako uone atakuambiaje juu ya hilo coz hata ukinyamaza utakuwa unajidanganya mwenyewe bora ujue moja utoe maamuzi.
 
Kuhusu hizo dawa inawezekana ana fangasi sehemu za siri na km unavyoelewa si rahisi kwa wabongo kufunguka kuhusu matatizo ya sehemu za siri, ila Fangasi c ugonjwa wa zinaa.

Unavyosema anapenda fedha unamaanisha nini? je anajitegemea na ana kipato cha kukidhi mahitaji yake lkn bado anakudai fedha mara kwa mara ?, au anaishi kwao na hana kipato na hivyo anakuomba fedha kwa ajili ya matumizi yake.

Kama anakuomba fedha kwa ajili ya matumizi ya kawaida endelea kuhudumia ndo kupenda huko, ila inakubidi uwe wazi km huna kipato cha kukidhi mahitaji kuliko kuendelea kuumia .
 
Hapa kuna mapenz au nin leo nimemsindikiza hospital thn akapima akanitel haumwi ki2 alafu amepewa dawa kuzisoma ni ya viginer duu nika jifanya sijui kumuuliza akantel niya rashez mi nikavunga.

Huyu msichana sijui vp jaman
yan yeye nikimwomba ni meet naye anaulizia hela kila ki2 yeye ni hela alafu ni mwongo sana.
Naomben msaada huyu m2 nimweke kundi gan?

Kaka mwenye macha haambiwi tazama, sasa hapo penye bold tukushauri nini na wewe ushajionea mwenyewe matokea ya vipimo vya daktari na dawa aliyopewa? amsha akili!:A S embarassed:
 
B
Kuhusu hizo dawa inawezekana ana fangasi sehemu za siri na km unavyoelewa si rahisi kwa wabongo kufunguka kuhusu matatizo ya sehemu za siri, ila Fangasi c ugonjwa wa zinaa.

Unavyosema anapenda fedha unamaanisha nini? je anajitegemea na ana kipato cha kukidhi mahitaji yake lkn bado anakudai fedha mara kwa mara ?, au anaishi kwao na hana kipato na hivyo anakuomba fedha kwa ajili ya matumizi yake.

Kama anakuomba fedha kwa ajili ya matumizi ya kawaida endelea kuhudumia ndo kupenda huko, ila inakubidi uwe wazi km huna kipato cha kukidhi mahitaji kuliko kuendelea kuumia .

Hapo umenipa ushaur asante kaka!
 
Kaka mwenye macha haambiwi tazama, sasa hapo penye bold tukushauri nini na wewe ushajionea mwenyewe matokea ya vipimo vya daktari na dawa aliyopewa? amsha akili!:A S embarassed:

Sasz mi nko gizan misijaona k2 bt ananificha 2! Niamshe akil kwenye nin ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom