Haya mandege ya Kivita yanayopita kwenye anga la Dar es salaamu Mhmmmm!!

Hiyo siku ya uhuru nategemea kamanda Kova atutangazie kuwa tusitoke majumbani kwetu maana alshaabab wanataka kulipua taifa. Au kitisho chao kimeshaisha?

Atangaze Shimbo! Kama kipindi kile cha uchaguzi! Kwamba 09 Dec inakuwa vp?!
 
nakumbuka junior seminary moro,yakipita mwalimu anaacha kufundisha hadi wamalize!maana hizo kelele zake loh!
 
Kuna mtu aliwahi kuwaita baadhi ya wanaJF ''cyber critics''. Ni watu wa kupinga kila kitu. Ndege za kivita ni tofauti na ndege za kawaida ktk mwendo, kuiyumbisha ama kufanya mbwembwe mbalimbali na hata mlio wake ni tofauti.
 
ungeyaona usingemshauri hata huyo rubani afanye mbwembwe. mabawa yake utafikili nati hazijakazwa. mkuu tunaonaga ndege za kivita lakini hizi zetu sio.wakauza skrepa la sivyo zitaondoka na mtu. Mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom