Haya mambo ya unyumba tuyaachen tu!

tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,098
256
Hiki kisa ni cha leo leo.

Nina rafiki zangu wawili ambao ni wafanyabiashara, ivo mara nying huwa nakutana nao weekend kwsbb ninaish mbali na wao ingawa wao mara zote hushinda pamoja kwasbb ya nature ya biashara zao na kwsbb pia ni majirani.

Sasa leo nimefanikiwa kushinda na mmoja ya hawa marafiki zangu , wakat wa mazungumzo nikawa najaribu kusifia msimamo na mwenendo wa mke wa yule jamaa yetu ambaye leo hatukuwa nae, katika hali ya kushangaza nikaona jamaa ana ni crush sana na baada ya kubishana kitambo akanieleza kuwa yule shemeji ni mpenz wake na kwamba ni yeye aliyelazimisha uhusiano huo wakat mshikaj huyu mambo yake yalipokuwa magum na kujikuta mshikaj huyu akidaiwa na mume wa huyu shemej huyu.

Jambo hili halikunichanganya hata kidogo kwsbb ni mambo ya kawaida ila pale aliponiambia eti bila kula ule mtandao wa robo shilingi yaan analia kabisa, sasa nikimuangalia mumewe cdhan lama mtandao huwa au anaweza kuutumia hata cku moja maishan mwake.

Mwanamke huyu pia ni wale wa kariba ya kutotongozeka, mlioana kaz ipo.
 
Mungu tusaidie,kwa nguvu zetu hatuwezi kuwajua wenye tabia kama hizi........ila wewe uonaye sirini,tupe neema yako.AMEN:embarassed2:
 
Kweli kuna kazi ya ziada ya kumwomba mungu atupe msamaha na kutufungua mioyo yetu tumrudie.
 
loooh hii tabia ya kula kamtandao imekuwa kama halali siku hizi......sishangai maana dunia ndio yenda mwisho
 
Dah! huyo jamaa ni mkatili, kwanini anakubal kutembea na mke wa msikaji wake.

unajua ingekuwa wewe hata yule shemej angekuita chumban ucngekubali kbs mana ana misimamo ni balaa_lakn mshikaj kagonga na mtandao wa mjini, yaan kwa kwel nikasema Hakuna Binadam anaejua mahitaj halis ya mwenzie na Vifua vinabeba mambo meng
 
unajua ingekuwa wewe hata yule shemej angekuita chumban ucngekubali kbs mana ana misimamo ni balaa_lakn mshikaj kagonga na mtandao wa mjini, yaan kwa kwel nikasema Hakuna Binadam anaejua mahitaj halis ya mwenzie na Vifua vinabeba mambo meng

Hamna inaonekana huyo naye alikuwa akimtamani huyo mwanamke. Haiwezekani kwa mtu mwenye kujiheshimu akakubal kushawishika kihivyo.
 
Hamna inaonekana huyo naye alikuwa akimtamani huyo mwanamke. Haiwezekani kwa mtu mwenye kujiheshimu akakubal kushawishika kihivyo.

unajua mambo haya ni magumu na no formula-kuna mdada tupo nae job, mwaka juz alikuwa ujauzito wa mimba kubwa wakati umri wa mimba ni mdogo, that is to say angetakiwa kumkosesha unyumba bwasheee kwa kipindi kirefu sana kwasbb KUNA NAZI, KIFO CHA MENDE na mitindo mingi alikatazwa na wataalam na kwamba angemnywesha maji mtoto. sasa nikamuuliza kitambo chote hicho bwashee atavumilia-mdada akanitolea tube/jelly na kuniambia sasa mambo ndo mazuri zaidi no kulala-kwakwel nilichanganyikiwa, nikasema mbona mtandao huu unaonekana mgeni lakin watu wanakwambia labda kwetu barra tu ndo umechelewa kufika-duh kwa kweli!
 
samaki mmoja akioza unamtoa unamtupa unaendelea kukaanga wengine....

unaweza kujikuta umetupa tenga zima wakaisha maana baada ya kutupa unakuta anayefuatia naye kaoza. Tigo express yourself au twanga kote kote.
 
Back
Top Bottom