Haya mambo ni kweli yanajitokeza kwenye daladala?

Unawafahamu Madungadunga na wagonjwa wa mfadhaiko?usithubutu kupanada nao kama gari imejaa.Hawaibi simu wala pesa, utastukia tu nguo yako imeloa.Dada zetu wanapata shida kwa hawa watu.

Mavazi yao nayo yanachangia
 
Basi kazi tunayo kujikomboa kwenye hili wimbi la umasikini unaotufanya tuwe tunajidhalilisha
 
Back
Top Bottom