tunalazimika
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,098
- 256
kama kawa ya jumapili hapa dsm, ni vikao vya harus tu_kikao chetu kipo hapa Kilwa Road Pub_basi kaingia mshikaj mmoja kaulamba kweli na funguo zake za usafir_hata kabla hajaanza kuzungumza utajua mshikaj ana nyodo za kufa mtu_kasimama mpaka waiters wanamtafutia kiti chake_ghafla anawagombeza kuwa kiti hakijasafishwa vizuri_kwa ujumla hapa ananyenyekewa lakn jamaa haonyesh kuthamin_jambo hili kwa kwel linanifanya nitaman kumfuatilia_jamaa kabwaga funguo zake mezan na kuanza kujitandaza kifahar_Wakati nikijaribu kumtazama Viatu vyake_napigwa na butwaaa_mshikaj kavaaa Soksi zimechoka kuliko maelezo, hazifanan na muonekano wake kabisa_hii ikanikumbusha kijijin, siku kama hukuvaa chupi halaf ghafla ukipata demu_hata akunganganie vp lazma ulazimishe kuahirika kwa match_au ile ya Mzambia na tai na koti kumbe shat limebak ukosi tu_jaman ukiwaona weng wenye nyodo wana mapungufu kibao_sijui kwa nn