Haya majimbo yatakuwa wazi kabla ya 2015

Kwa maji marefu u can never compare with rostam aziz.uncomperable. Just watch and see.
 
Solomon Sumari - Arumeru Mashariki - Hajaapishwa mpaka leo ni mgonjwa

Sasa huyo ni mwakilishi wa wananchi kweli? Nisaidieni sheria inasemaje kwa hali kama ya huyo fisadi sumari. Tamaa ya kuolewa ya Ana Makinda imeniacha hoi...umri huo bado anataka kuolewa?
 
1.Lema, dhambi ya ujambazi inamtafuna.
2.Halima Mdee, kaacha majukumu ya ubunge kakimbilia urembo.
3. John Mnyika, Jimbo limemzidi uzito.
4. Mchungaji Petel Msigwa, huyu kajisahau anadhani yupo kanisani
4. Joseph Mbilinyi huyu ni mzigo kwa wana Mbeya..

Hawa ni baadhi ya wabunge ambao majimbo yao yatakuwa wazi

achana na hao...hata mkuu wa kaya Dr. Nazi anaweza akakick the ndoo kabla ya 2015 kwa tension anayoiface kwa sasa, amekuwa mzigo sio wa kwa watz tu, dunia nzima.
 
Hii tathimini nimeifanya kutokana na tabia zao na maisha wanayoishi,ongezea wa kwako!

Peter serukamba--kigoma--kiburi cha uzima(ushamba)

Abdala kigoda--Handeni--ulevi lazima umtoe

Adam kigoma malima--mkuranga--kubadilisha majini,baada ya sheikh yahaya kufa amepata mganga mwingine na majini yatamtoa

John chenge--bariadi--mshtuko wa matokeo ya kuvuliwwa gamba

Anne semamba makinda--njombe-tamaa ya kuolewa

Anne kilango malecela--same--=tamaa ya kurithi mali za bwanake zitafanya watoto wa bwanake wamtoe

Augustino laytonga mrema-himo--kisukari na kale kaugojwa ketu

Ezekiel maige--msalala--kujipendekeza

Gabriel makala--mvomero--kujirusha na tamaa ya wanawake

George mkuchika--newala--roho mbaya

Hery shekifu-lushoto-anajua mwenyewe sitaki kutaja hapa

John mmomose cheyo-bariadi--tamaa na usanii

Jonh chiligati-manyoni-roho mbaya na uchawi
Januari makamba-laana ya kufanyiwa kampeni na Barrick
Ngeleja- Wizara kumzidi kimo
 
Mkuu unataka kuniambia Bi Anne ni single...? Na je hizi taarifa ****** anazo?
 
achana na hao...hata mkuu wa kaya Dr. Nazi anaweza akakick the ndoo kabla ya 2015 kwa tension anayoiface kwa sasa, amekuwa mzigo sio wa kwa watz tu, dunia nzima.

Unamaanisha yule jamaa aliezaliwaga bila kichwa miaka ile madaktari wakamuwekea Nazi??
 
kuna wakati wakujifurahisha ila hii sredi ina ukweli

Yaani hapo unauliza mambo ya ukweli wa thread hii, don't you see that this man is sick, mimi nadhani sasa jf inakosa maana kama kila mtu ataandika anavyojisikia wote tutaonekana we are of his/her kind. Lakini pengine amegundua akili za watu wa humu kuwa they are always happy unapowaponda baadhi ya watu fulani au chama fulani. Personaly Iam not of such kind
 
Hii tathimini nimeifanya kutokana na tabia zao na maisha wanayoishi,ongezea wa kwako!

Peter serukamba--kigoma--kiburi cha uzima(ushamba)

Abdala kigoda--Handeni--ulevi lazima umtoe

Adam kigoma malima--mkuranga--kubadilisha majini,baada ya sheikh yahaya kufa amepata mganga mwingine na majini yatamtoa

John chenge--bariadi--mshtuko wa matokeo ya kuvuliwwa gamba

Anne semamba makinda--njombe-tamaa ya kuolewa

Anne kilango malecela--same--=tamaa ya kurithi mali za bwanake zitafanya watoto wa bwanake wamtoe

Augustino laytonga mrema-himo--kisukari na kale kaugojwa ketu

Ezekiel maige--msalala--kujipendekeza

Gabriel makala--mvomero--kujirusha na tamaa ya wanawake

George mkuchika--newala--roho mbaya

Hery shekifu-lushoto-anajua mwenyewe sitaki kutaja hapa

John mmomose cheyo-bariadi--tamaa na usanii

Jonh chiligati-manyoni-roho mbaya na uchawi
Hongera kwa kutambua kuwa watu wote humu JF wana akili kama zako, sikutegemea mada kama hii humu ndani ya kuwadhalilisha waheshimiwa wabunge. Sasa kama lengo lako lilikuwa ni kutoa matusi kwa wabunge wa vyama tofauti na CHADEMA angalia sasa umeumbuka , hayo yanayoporomoshwa kwa ajili wale wa CDM utayazuiaje? Tuwe waungwana By the way hizo ni personal issues yanahusiana vipi na kuondoka kwa majimboni. Inawezekana wewe ni zaidi yao.
 
Hivi huyu kilaza sumari bado yupo?? jaman wameru mnatuangusha sana.

he is serious sick on the bed, hasemi hatembei na madktari wamesema kuwa ana kansa ya ubongo. Kuhusu nafasi ya ubunge bado anayo till atakapokufa coz katiba yetu inamlinda.
 
Kwani anna abdalah akiolewa na msekwa alikua na umri gani? Muacheni binti wa watu banaa,hamna hata huruma kafiwa na mamake juzi juzi!
Tamaa ya kuolewa ya Ana Makinda imeniacha hoi...umri huo bado anataka kuolewa?
 
Back
Top Bottom