haya MAGUVU tunatoa wapi wadada wanapotuomba msaada wa kubeba MIZIGO?

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
...huwa najiuliza mwanadada anapokuomba msaada kijana wa kiume,unakua na nguvu za ajabu kusaidi...(hapa naongelea mizigo zaidi)...leo nimekuta mdada kabeba ndoo ya maji...nikamwambia pole...akasema mmmmh,pole labda unisaidie zile ndoo paleee!(zilikua mbili) nikazikamata kwa pamoja mpaka kwao...BTW simfahamu huyu bi dada!...kiukweli zilikua nzito...

juzi flani tena bi dada mmoja ametoka Alpha dry cleaner...mingup kibao inataka kumdondosha...mshkaji wangu akamwambia poleee!..dada akasema...mmmh asante...nisaidie basi...mshkaji akakamata..paaap akaweka begani mpaka kwenye gari ya yule du.

atleast alichukua namba ya simu...wanawasiliana..sijui wamefikia wapi...asee wadada wana nini hawa?
 
kwani wakati huo unakuwa unabeba wewe?
Kumbe hujui? Ni mdogo wako ndo anaamuru nguvu zije.

Si unaona mwenzio wanawasiliana na hujui wamefikia wapi?
Wanaweza kuwa wamefika shingoni.
 
Mkuu bagah, salama? Unapiga nondo siku hizi au.. Mida mida mkuu, napita!

acha tu hata nondo sipigi...SI U siku nyingine usipite hapa...hakuna nji...na Mbwa mkali...
 
kwani wakati huo unakuwa unabeba wewe?
Kumbe hujui? Ni mdogo wako ndo anaamuru nguvu zije.

Si unaona mwenzio wanawasiliana na hujui wamefikia wapi?
Wanaweza kuwa wamefika shingoni.

najaribu kumfaham huyo mdogo wangu...LOL

wamefika shingoni wakitokea juu au chini???
 
Back
Top Bottom