Haya Madai ya Elimu Kuanzia Mikoa ya Kaskazini Yana Ukweli Wowote?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Kwamba kwa ukanda wa Afrika Mashariki, 'shule' ilianzia Kenya, ikaja mikoa ya Kaskazini (Magharibi na Mashariki zake) mwa TZ?

Ndiyo maana leo hii watawala waongo-waongo hawafanikiwi kudumu katika mikoa ya Kaskazini? Ukidanganya wananchi tu, next time unapigwa chini.

Kwamba mikoa ya kusini na pwani wao walikuwa watu wa starehe na ngoma tu? Ndiyo maana leo hii mikoa inayoongoza kwa watoto wa kike kupata mimba wakiwa shule ni ile mikoa ya kusini kuliko kaskazini?

haya madai yana ukweli wowote?

nauliza hapa jf. H.O.G.T.
 
Ng'wanangwa,

Madilo gwawiza.

Hiyo ni kweli kumbuka wamisionari ndiyo waliokuwa wanajenga makanisa na pia huduma za jamii kama mashule na Hospitali.

Mikoa ya kaskazini ndiyo ilikuwa imependwa na wamisionari kwa sababu ya hali ya hewa kufanana na kule Ulaya hivyo walieneza elimu mapema. Kuanzia Milima Kenya, Kuja Nairobi, Kajiado, Namanga ila eneo la Wamasai waliachana nalo kwa sababu hawakucop kabisa maisha ya kizungu, wakaingia Kilimanjaro hadi maeneo ya Lushoto. Kisha wakairuka mbuga ya Serengeti wakatua kanda ya ziwa hadi Rwanda na Mashariki ya ziwa Tanganyika maeneo ya Uvira na Baraka hadi Juu kabisa kaskazini Mlima Ruwenzori.

Mikoa ya kusini Tangu awali ilathirika na Waarabu kwa maana kwanza wengi walisombwa kama watumwa na vile vile waliweka makao yao pwani Toka Lamu,Malindi,Mombasa,Tanga,Bwagamoyo,Bandari ya Salama(Dsm) Kilwa nk. Walijenga miskiti mingi na kuhakikisha madrasa ndiyo kipaumbele chao cha kwanza.
Walipewa pia fursa ya kuendelea kufanya mambo ya unyago nk ila hawakupewa nafasi kabisa za kuimarisha utawala wao. hapakuwa na watemi maarufu kama kina Mingi kule kaskazini.

Hata leo hii, wasomi wengi wanatoka kanda ya kaskazini mashariki na magharibi hadi ziwa Victoria.

Ukanda mwingine wa Kusini ambako wamisionari walikaa nyanda za juu kusini.

Bila umenipata vema.
 
Kwamba kwa ukanda wa Afrika Mashariki, 'shule' ilianzia Kenya, ikaja mikoa ya Kaskazini (Magharibi na Mashariki zake) mwa TZ?

Ndiyo maana leo hii watawala waongo-waongo hawafanikiwi kudumu katika mikoa ya Kaskazini? Ukidanganya wananchi tu, next time unapigwa chini.

Kwamba mikoa ya kusini na pwani wao walikuwa watu wa starehe na ngoma tu? Ndiyo maana leo hii mikoa inayoongoza kwa watoto wa kike kupata mimba wakiwa shule ni ile mikoa ya kusini kuliko kaskazini?

haya madai yana ukweli wowote?

nauliza hapa jf. H.O.G.T.

Pumba-takataka-Uch..u
 
Hujakosea, upo sahihi. kanda ya kask imepata fursa toka awali hasa kutokana na utawala wao wa wamangi waliokuwa jasiri, wakali na waliwalinda watu wao, hasa wale waliokuwa na miili yenye nguvu na waliokuwa askari wa kulinda umangi. wamangi hawa walipinga katu kuwatoa watu wao kwa utumwa na pia waligoma kukaliwa na wazungu. ila waliwakubali tu wamisionari ambao walitanguliza kuwapa huduma, elimu nk. ndio maana wamefika mbali kimaendeleo. fuatilia coment yangu ktk thread ya mwanakijiji ya leo hapa jamvini kukusu 'wachagga wengi kuwapo ktk nyadhifa nyingi tz'
 
Uko right, ila hii mikoa ya kaskazini ukileta ujinga, umbea, uongo huta uona uongozi tena, ndio byebye, hata Kenya wananchi ni wakali, viongozi wauza Drugs wanatajwa wazi wazi bungeni na waziri mkuu, hakuna unafiki, wala uswahiba, ila ukija mikoa ya pwani na kusini mwa Tz hadi mombasa kenya, ni taarabu na ngoma na vidole juu, hali hii inaendelea somehow hadi leo ni rahisi kuwadnaganya na kuwa furahisha watu hawa kwa vitu vidogo, na ni watu wa kutokupenda kazi saaaana na kupenda Umwinyi meanwhile wanajiona wanajua saaaaaaana kumbe hata Ngoswe alikuwa najiona hivyo, na huu ndio ukweli but wanaanza kubadilika maisha yanawafunza. Waarabu si watu wa kusoma na maendeleo ndio kilicho waadhiri hawa, kazi yao kuoa wake 4, kama si mafuta waarabu wengi wangekuwa Wakimbizi sana, ingekuwa balaaa duniani
 
Elimu ilikuwa sehemu za kimissionari Tanzania inland ikiwamo kaskazini. Pwani ni kucheza vigoli ngoma. Kusini sijui
 
In addition, hayo makabila ya kaskazini yalilewa divai ya wamisionari to a extent walikubali kila upuuzi achia mbali ukoloni hata kuachia govi wakiamini ni sehemu ya dini. Unajua kwa nini wakikuyu hawako tayari kuwapa waluo nchi? Waluo walikuwa vipenzi vya wamisionari hawakuwa na resistance yeyote against colonialism. Kwenye harakati za kudai uhuru hawa walikuwa wanalewa tu!
 
Ni kweli kabisa

Angalia Kilimanjaro kila kata ina shule mbili au zaidi... kadhalika hata viongozi wengi waliokuwa kwenye serikali ya awali walitoka mkoa huu au Bukoba...

pamoja na jitihada za serikali kujaribu mikoa mingine bado wako mbali sana kwani mikoa hii naya inazidi kusonga mbele..

sidhani kama suala lilikuwa ni ngoma na starehe nadhani ni historia tu ndiyo iliyosababisha kwani mamisionari walianza kazi huku kwenye mikoa hii na walipokelewa vizuri na kwa kuwa utawala wa waingereza ulikuwa katibu nao na walikuwa wakiongoza kwa kuangalia viegezo vya mahalia. Hivyo elimu ulipelekwa zaidi Kagera and Kilimanjaro...
 
In addition, hayo makabila ya kaskazini yalilewa divai ya wamisionari to a extent walikubali kila upuuzi achia mbali ukoloni hata kuachia govi wakiamini ni sehemu ya dini. Unajua kwa nini wakikuyu hawako tayari kuwapa waluo nchi? Waluo walikuwa vipenzi vya wamisionari hawakuwa na resistance yeyote against colonialism. Kwenye harakati za kudai uhuru hawa walikuwa wanalewa tu!

Mkuu Jesuit,

Naomba sana uombe msamaha kwa kauli hii hapo juu. Mimi mwenyewe nilishawahi kutoa maneno similar to these baadaye nikatahayari na kuomba msamaha unconditionally! Nilielimishwa hapa hapa jamvini.
 
Kwamba kwa ukanda wa Afrika Mashariki, 'shule' ilianzia Kenya, ikaja mikoa ya Kaskazini (Magharibi na Mashariki zake) mwa TZ?

Ndiyo maana leo hii watawala waongo-waongo hawafanikiwi kudumu katika mikoa ya Kaskazini? Ukidanganya wananchi tu, next time unapigwa chini.

Kwamba mikoa ya kusini na pwani wao walikuwa watu wa starehe na ngoma tu? Ndiyo maana leo hii mikoa inayoongoza kwa watoto wa kike kupata mimba wakiwa shule ni ile mikoa ya kusini kuliko kaskazini?

haya madai yana ukweli wowote?

nauliza hapa jf. H.O.G.T.

acha ushabiki wa kijiweni ndugu!!
Ninavyofahamu shule za mwanzo kabisa haziko kaskazini mfano minaki,Pugu,UDSM
kuhusu mimba mashuleni nenda kafanye utafiti utaona mikoa ya kaskazini inaongoza kwa utoaji mimba hivyo kupata mimba ni tatizo la nchi nzima.
Nakuonya tena kuwa uache ushabiki kwa sababu unachokishabikia ni upuuzi mtupu.jiulize swali moja,kwa miaka 49 hao waliosoma(wa kaskazini) wameifanyia nini nchi?au ni wataalamu wa kukariri na kuiba mitihani?
 
In addition, hayo makabila ya kaskazini yalilewa divai ya wamisionari to a extent walikubali kila upuuzi achia mbali ukoloni hata kuachia govi wakiamini ni sehemu ya dini. Unajua kwa nini wakikuyu hawako tayari kuwapa waluo nchi? Waluo walikuwa vipenzi vya wamisionari hawakuwa na resistance yeyote against colonialism. Kwenye harakati za kudai uhuru hawa walikuwa wanalewa tu!

Be jealous!
 
Back
Top Bottom