haya macho ya invisible siyaelewielewi kabisa

Yaani ww umetongoza PM weeeh ukachoka, sasa unamuwazia Invisible!? Mtu mwenyewe haonekani, ukishamtongoa itakuwaje?
Tatizo ni kwamba hayo macho nimeyafananisha. King'a mambovipi? mzee hajambo?. mia
 
nmejitahidi kumtambua macho ya Invisible lakini nmeshindwa. kila nikimuangalia ananikonyeza. naamin hapa jf kuna watu wanaweza kutambua jinsia ya mtu kwa kumuangalia macho, pua na hata masikio. natamani kujua jinsia yake. tuseme wote wanao vaa kininja ni wanaume tu?. hebu mchunguze macho kwa makini then mnipe jibu.
Ni kwa nia njema tu. usikute najichelewesha. Mia


papito mm haijalishi ni jinsia gani ukimpata kwa pm nishtue na mm

nataka kumuona live. hata mm ni kwa nia njema tu. mwaaaaaaah.
 
figganigga,

Mbona kawaida tu?

avatar72_9.gif


iko poa ila haituambii jinsia gani. :help: :help: :help: funguka bac.
 
papito mm haijalishi ni jinsia gani ukimpata kwa pm nishtue na mm

nataka kumuona live. hata mm ni kwa nia njema tu. mwaaaaaaah.

hahahahaaaaaa......!!!!. shaka Invisible kalipokea kwa furaha hilo busu. Natamani ingekuwa mimi, ningekujibu papo kwa papo mwaaaaaa...!!! ya nguvu. Mia
 
Last edited by a moderator:
iko poa ila haituambii jinsia gani. :help: :help: :help: funguka bac.

hataki. hayo macho inatakiwa mtu mwenye uwezo wa kugundua jinsia kwa kuangalia macho. akinikonyeza tu mapigo ya moyo yanaenda mbio huku naogopa lisije likanifanyizia nikikutana nalo. Mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom