Change_it
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 279
- 83
huyu jamaa kakurupuka hiyo kitu haiwezekani bila connection kabisaMtoa mada alitupotosha yani mimi alinifanya nitafakari na niwaze sana daah inakuwaje emails zinatumwa na kupokelewa pasipo kuwepo connection? Kumbe suala si kwamba znatumwa ila ni kwamba unaweza andika barua pepe zako bila kuwepo connection na ukazosend so zitabaki pending mpaka pale utakapo connect computer yako kwenye internet ndo ztaenda. Hii kitu hata outlook ipo kwa hiyo si kwamba bila connection kabisa emails zitakwenda kama mtoa mada alivyoodai hapo mwanzo.