Haya kafungieni ndoa daraja la kigamboni-Magufuli.!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Ndio maana yake! mradi umezinduliwa na hayo ni baadhi tu ya maneno yaliyomo ktk hotuba yake ya kuweka jiwe la msingi, mbele ya balozi wa egypt!
 
huyu maguful anapiga kelele2, mtu ukifika jimbon kwake aibu hamna maji safi na salama,umeme shida kashindwa kufatilia chato wapate umeme wa bukoba utokao uganda ambao huduma ni saa 24,anaacha wa2mie umeme wa jenereta usio na uhakika,kifupi jimbo liko nyuma kimaendeleo ni aibu cjui hata ajivunia nn
 
huyu maguful anapiga
kelele2, mtu ukifika jimbon kwake aibu hamna maji safi na salama,umeme
shida kashindwa kufatilia chato wapate umeme wa bukoba utokao uganda
ambao huduma ni saa 24,anaacha wa2mie umeme wa jenereta usio na
uhakika,kifupi jimbo liko nyuma kimaendeleo ni aibu cjui hata ajivunia
nn

Mkuu ki ukweli Chato nimefika na kweli bado sana iko nyuma kimaendeleo ila mi nazungumzia mradi mpya wa kurahisisha mawasiliano katia ya kigambonino na Jiji la dsm basi!
 
Kauli za viongozi wetu mhhh
nafikiri kuna siku nitaanzisha thread "collections za kauli za viongozi"
mmhhh haya bana
 
huyu maguful anapiga kelele2, mtu ukifika jimbon kwake aibu hamna maji safi na salama,umeme shida kashindwa kufatilia chato wapate umeme wa bukoba utokao uganda ambao huduma ni saa 24,anaacha wa2mie umeme wa jenereta usio na uhakika,kifupi jimbo liko nyuma kimaendeleo ni aibu cjui hata ajivunia nn

Mkuu ila hapo kaongea kama waziri na sio kama mbunge mkuu
Tujaribu kuangalia utendaji wake kama waziri na sio kama mbunge
Mkuu
 
Back
Top Bottom