Haya huyu jamani ni mchawi wa kilabu ya timu ya simba au yanga?

Mkuu ukiangalia mkono wake wa kushoto rangi ya kitambaa alichoshika utapata jibu kama ni mchawi wa Simba au Yanga.
Mchek tena.
 
Anatinga na mibuzi ya kafara!Hawa jamaa ni hatari kwelikweli!
 
Tanzania bana sasa huyo alipiyaje na hao wanyama? Na kwa nini yuko pembezoni mwa uwanja na hazuiwi?
 
Walinzi wa mlangoni ni wateja wake, wasingeweza zuia fundi wao kuingia na wanyama wake
 
Hii ni katika kuthibitisha tu kuwa mashehe na waislamu kwa ujumla ni wachawi wa kupindukia.
 
1.rangi nyekundu na nyeupe ni za timu gani?...jibu unalo.
2.inawezekana hana lolote ila kuwatia hofu timu fulani.
 
Kama hii inafanya kazi saa hizi tuko South kwenye kombe la dunia:embarrassed:
 
Hapa pia huwa nashangaa wale wanaopandisha majini, majina ya majini huwa ni ya kiislam, au kiarabu kwa asilimia kubwa!
 
Hii ni katika kuthibitisha tu kuwa mashehe na waislamu kwa ujumla ni wachawi wa kupindukia.

Mkuu Hatuzungumzi mambo ya Dini hapa. Tunachozungumza ni huyu ni Mchawi wa Timu gani?Yanga au Simba jibu linapatikana kuwa huyu ni Mchawi wa Timu ya Simba kwa Ushahidi wa hicho Kitambaa Chekundu alichokishika Mkononi mwake. Mkuu usilete mambo ya Dini hapa kama Masuala ya Uchawi sio waislam peke yake hata Wakristo ni Wachawi wakubwa, nenda Makanisa ya Walokole kazi yao kubwa kutowa Watu Mapepo kichwani huo pia ni Uchawi mkubwa sana wewe unajuwa kutowa Mapepo kichwani? Nenda kwa Walokole hiyo ndio kazi yao kutowa Mapepo kwa kutumia jina la Yesu kumbe ni uongo Mtupu wanatumia Uchawi tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom