Haya huwa yananikera sana......

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Wanajf mwenzenu nikiwa katika maeneo ya 6x6 kuna vijimambo huwa vinanikera sana kiasi hufikia hatua ya kupoteza hata appetite ya kupiga mechi. Nikikutana na msichana au mwanamke mwenye kaharufu ka mdomo, jasho, anafumba macho muda wote wa mechi na nikipiga bao anaharakisha kutafuta kufuli yake ili awahi kuondoka kwa kweli naweza kumfuta katika mahusiano na nisimtafute tena....Ni mtazamo wangu tu.
 
mzee unataka kupiga gemu na malaika? kuna binadamu asoye na harufu ya kwapa au mdomo? ya kwako unaijua inavyovuma? au ndiyo yale ya nyani haoni naniliu lake???????????/
 
Mh Kunuka mdomo soo, hata mie mtalimbo lazima uale dorooo, kufumba macho huenda anausikilizia mtalimbo au bado hujagusa kitu, sasa la kutafuta kufuli mapema na kuondoka mapema mkuu ujue hujakuna kitu hapo mkuu umemchosha tuuu buree
 
sasa tukusaidieje. hayo ni mambo unayotakiwa kumwambia muhusika. Hata wakati anasaini mkataba wa kuingia na wewe 6*6 awe anajua.
 
sasa tukusaidieje. hayo ni mambo unayotakiwa kumwambia muhusika. Hata wakati anasaini mkataba wa kuingia na wewe 6*6 awe anajua.
..Carmel, lait wahusika wangekuwa wanakubali kuwaambia na kuyafanyia kazi wala nisingekuwa hapa muda huu. Tatizo nikimwambia kuwa mshikaji masuala ya usafi vipi? utasikia mbona mi niko bomba tu au ndio umenichoka unanitafutia fisa???
 
Unayotwambia hayatuhusu maana hatumjui. Nenda dukani mnunulie zawadi ya deodorant,pafyum na dawa ya meno umfungie parcel umpe.
 
Inabidi kabla ya mechi uwe unakagua mdomo, kwapa na vingine ili kujiridhisha kuwa hakuna harufu hiyo ya kukera ndio utainjoi mechi.
 
Inabidi kabla ya mechi uwe unakagua mdomo, kwapa na vingine ili kujiridhisha kuwa hakuna harufu hiyo ya kukera ndio utainjoi mechi.


Mmmh ukaguzi labda uwe mwangalifu sana,isije ikawa unakagua mdomo alaf unakuta kipande cha wali au soseji au nyamachoma ya juzi kutoka Bar ya mama Ntiki alaf hapo ukosa hata hamu ya kumuangalia usoni. Zaidi ni kumuambia twende tukaoge hata kama ameoga tayari waweza kuta alinawa tu ili kujioesha ameoga!

Makubwa!
 
sasa kama unachukua watoto wa uswazi unategemea nini? lazima adha kama hizo ukutane nazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom