Haya hii ni Kwa Wadada-TV coming between my husband and me

Hivi mambo ya TV, sofa, laptop, makabati ya nguo, vitabu, magazeti viatu dressing table chumbani vinatafuta nini? chumbali kinachotakiwa kuwepo ni pajama zilizoko mwilini, bed, bedsheets, domu, few soft towels pieces basi. hata barua haitakiwi chumbani. Hitu vyote hivyo vingine viishia dressing room. kama nyumba haina hiyo sehemu ya dressing room ( ili mijengo yetu ya kizamani) au mnaishi kwenye nyumba ya kupanga, then try to be decent to the real meaning of master bed room. Mambo yatakuwa poa kabisa. Otherwise mama hatakawia kuanza kufuma mikeka au vitambaa usiku kitandani

BrownEye
Umesahau wengine sefu zimo humo humo. Mbaya zaidi wakuu wengine wanaingia na silaha na kuziweka chini ya mto...eti sheria hairuhusu kuiweka mbali...ndoa nyingine sarakasi kweli kwi kwi kwiiiii
 
..Shadow, tatizo nililogundua ni kuwa sisi sijui niite waswahili au ndio waafrika tunapokuwa na wapenzi wetu suala la kuheshimu feeling za mwenza wako katika jambo fulani huwa hakuna matokeo yake kila mmoja anajitahidi kutaka aonekane yeye ni matawi ya juu na endapo hamtakubaliana basi visa huamia kwenye mambo ya msingi ya ndoa.Kwa mfano mi sioni tatizo kama mke wangu anaangalia tamthilia mpaka usiku mwingi la maana akipanda kitandani ninapohitaji haki yangu nipate sio eti mi nimechoka,same to mekama nitakuwa naangalia mpira moaka usiku wa manane sio tatizo nikiingia kilingeni mchezo kama kawa...lakini sisi sio ukiomba unaambiwa kaendelee na mpira wako huko huko!!!

Laligeni, hiyo ni kweli visa na visasi na kutokujali hisia na kuua kwa mawasiliano katika mahusino vinachangia sana kuua upendo na ndoa matokeo yake ndo mwanzo wa kutafuta vibuyu au nyumba ndogo na mwisho wake ni kilio!
 
Best and only best advice is...... Talk to him about it and see what he has to say,
remember you are married to him so at least you should have the confidence in talking to him and explain what troubles you most. i.e his behavior
 
BrownEye
Umesahau wengine sefu zimo humo humo. Mbaya zaidi wakuu wengine wanaingia na silaha na kuziweka chini ya mto...eti sheria hairuhusu kuiweka mbali...ndoa nyingine sarakasi kweli kwi kwi kwiiiii

Ama kweli sarakasi.

Binafsi najisikia kichefuchefu, watu wazima wanapoona wanaingia msikitini halafu wanangoja hadi waambiwe na shehe kuvua viatu, ukifikiri vizuri utajua tu jamaa hata udhu atakuwa nao kweli?? Bunduki na ndoa ni kama ukiweka bangi na serikali pamoja. ukizungumzia kuweka chini ya mto hapo ndio kabisaaa unanichanganya
 
Jaribu kukaa naye hapo kwenye sofa mu watch tv wote, kama mambo hayalipi sasa dawa just keep yourself also busy with other things too, mpaka siku akitaka kurudi nakuongea na wewe. Maana huwezi kumlazimisha kuongea ili hali hakujibu. Na ukiona yana zidi nenda kajirushe njee bwana. Na yeye akienda ndo hapo umuulize sasa inakuwaje mkuu! We solve the problem au u kick off. Life is too short jamani. Hamna mda wa kubembelezana waliyafanyaga ma bibi zetuuuuuuuuuu!!!!!!

Ushauri wako mbovu sana. Tena sana
 
Msituaribie ndoa zetu jamani, sisi twawabembeleza wa kwetu, kuku na njiwa wanabembeleza itakuwa sisi?? behaviour yoyote anayoonyesha mwanadamu ni matokeo, sio vizuri kujudge kwa matokeo tujaribu kuinuana kwenye mapenzi, sasa kama kila mtu ataonyesha ubabe tutaishia kusoma habari za talaka kweny magazeti mpaka tutasahau ufisadi.
 
Back
Top Bottom