Haya haya wamesha anza kabla ya 2015,

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
396319_4837083927253_1285851694_n.jpg
 
Inasikitisha sana kwani vijana hawa hawana tofauti kubwa baina yao - wote ni maskini, wanaotegemea vibahasha kila chaguzi, na baada ya hapo ni wachuuzi, na watu wa vijiwe vinavyolindwa dhidi ya bomoa bomoa ya jiji kwa sababu ni mashina ya UVCCM hata katika maeneo yasiyo halali, huku wote wakiendelea kuwa ni vijana wa kada moja - MASKINI Tanzania chini ya utawala wa CCM kwa miaka 50 plus;
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom