haya haya toa maelezo ya picha hiii...............

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
hayan.jpg

naomba tusaidiane kutoa maelezo ya hiii picha mi nimeishiwa pozi.
 
Laana .. Amelaaniwa ntagombea ubaunsa wa bunge nikauwe mmoja na mateke ya tumbo.
 
Hiyo picha tafsiri yake ni: "sinzia kazini ulipwe zaidi"
 
huu ni upupu wanaoufanya serikali ya jamhuri ya muungano wa mafisadi..! hapa hakuna equivalenncy ya mambo asee..! huu ni wizi mkuu sana asee.. na ni upupu mtupu naomba niishie hapo maana nikizidi kuongea nandani keyboard yangu itajaa machozi asee..! hawa madaktari wanapata shida kinyama halafu watu tunaotegemea waisimamie serikali wanaenda kulala hapo..! na likitokea swala la kudai posho wanakua wakali kweli kweli..! wakati wameenda kulala..! Mungu awarehemu hawa laa sivyo wangekua wamekufa kitambo sana..!
 
Huyu ni jambazi wewe umuoni hata sura yake ilivyo kama ya chama chake tu cha CCM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom