Haya, dr ulimboka amesema waliomteka. Tumefanya nini?

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Nilikuwa nachukizwa sana na waandishi wa habari namna walivyokuwa wanaandika vitu vya uongo kuhusu lile sakata la madaktari na hatma ya Ulimboka. Hasa waandishi wa tz daima na washabiki wengine wa jf. Kila siku kuulizia,dr atasema lini? Wengine wakaja kusema kalipwa hela kama walikuwa wanataka kuchukua hatua zozote. Kuna wengine walimchangia matibabu, tunashukuru na werevu walishajua baada ya madaktari kuacha wenzao wakifukuzwa na wao kurudi kazi hakuna cha muhimu kingefanyika. Sasa, tumechukua hatua gani baada ya kuambiwa mara tatu ighondu ndo mtekaji wake? Kuna aliyejitokeza kupigia kelele hata tume ya kova itoe majibu? Nani anaweza kwenda kumkamata ighondu? Inabidi tujipange upya katika kila mmoja kupigania haki zake. Hili la watu kutojua haki na wajibu wao ndo linasababisha viongozi kila siku wanatoa majibu ya uongo ili mradi muda upite. Wanajua watanzania hatujui haki na wajibu wetu hivyo yote yatapita tu.
 
taifa la ''kulipuana'' leo utasikia sumaye amlipua nagu,kesho utasikia ulimboka amlipua jk,keshokutwa utasikia shekh farid apasua jipu...asema jk ni mwana uamsho..n.k n.k ilimradi magazeti yauze udaku wao.
 
mashabiki wa jf....nimeipenda hii.

mkuu kuna watu walijiunga humu baada ya wabunge kuanza kuona kuna hoja za muhimu na kuiongelea vibaya bungeni. We huoni kuanzia 2006 mpaka 2011 member walikua kwenye 60 elfu lakini mpaka leo wanafika laki moja? Yaani ndo maana humu hakuna mawazo tena, watu wanajadili watu badala ya hoja. Ukiweka hoja ijadiliwe wanahamia kwenye yale wanayofikiri wao wanayaweza!
 
Kwani ulimboka alisema kipi kipya ambacho hakikusema mwanzoni na ambacho hakijaandikwa na mwanahalisi?
 
ikishindikana madaktari wasuburie uchaguzi 2015 , ikitoka CCM kudadeki lazima tumfanyizie JOKA RAMA kama walibya walivyomfanyizia gadafi !!
 
unafki sana watanzania wengi thus way wazazi/walezi wangu wananiusia nisishiriki vurugu wala migomo inayojifanya inatetea hakiNakumbuka sana maneno ulioyaandika mkuu hapo juu kuwa1.Uli kanunuliwa2.Aseme tulimchangia na kumuombea kwa mungu3.Msaliti4..........Walipinga gazeti la Mwanahalisi kile walichoandika wakataka mwenyewe asemeCha ajabu leo kasema woote kimya.Nchi ya kulaumiana,kuna ambao waliwalaumu wanaharakati.Lakini na mm nazidi kujifunza unafki huu tulionao watanzania.Kwa mwenendo huu tutanyanyaswa,tutadhulimiwa,tutateswa na kudhihakiwa hadi basi sio cc tu tuliopo leo bali navizazi vyetu vijavyo.
 
unafki sana watanzania wengi thus way wazazi/walezi wangu wananiusia nisishiriki vurugu wala migomo inayojifanya inatetea hakiNakumbuka sana maneno ulioyaandika mkuu hapo juu kuwa1.Uli kanunuliwa2.Aseme tulimchangia na kumuombea kwa mungu3.Msaliti4..........Walipinga gazeti la Mwanahalisi kile walichoandika wakataka mwenyewe asemeCha ajabu leo kasema woote kimya.Nchi ya kulaumiana,kuna ambao waliwalaumu wanaharakati.Lakini na mm nazidi kujifunza unafki huu tulionao watanzania.Kwa mwenendo huu tutanyanyaswa,tutadhulimiwa,tutateswa na kudhihakiwa hadi basi sio cc tu tuliopo leo bali navizazi vyetu vijavyo.[/Never trust anyone completely but God.Love people,but put your full trust only in God]Lawrence Welk
 
Nilikuwa nachukizwa sana na waandishi wa habari namna walivyokuwa wanaandika vitu vya uongo kuhusu lile sakata la madaktari na hatma ya Ulimboka. Hasa waandishi wa tz daima na washabiki wengine wa jf. Kila siku kuulizia,dr atasema lini? Wengine wakaja kusema kalipwa hela kama walikuwa wanataka kuchukua hatua zozote. Kuna wengine walimchangia matibabu, tunashukuru na werevu walishajua baada ya madaktari kuacha wenzao wakifukuzwa na wao kurudi kazi hakuna cha muhimu kingefanyika. Sasa, tumechukua hatua gani baada ya kuambiwa mara tatu ighondu ndo mtekaji wake? Kuna aliyejitokeza kupigia kelele hata tume ya kova itoe majibu? Nani anaweza kwenda kumkamata ighondu? Inabidi tujipange upya katika kila mmoja kupigania haki zake. Hili la watu kutojua haki na wajibu wao ndo linasababisha viongozi kila siku wanatoa majibu ya uongo ili mradi muda upite. Wanajua watanzania hatujui haki na wajibu wetu hivyo yote yatapita tu.

Mkuu,
Wewe ulitaka
 
Mkuu,
Wewe ulitaka

mkuu mimi nilikuwa najua kwamba jamaa katekwa na tiss, i was part ya waliomtimua yule jamaa wa kova pale moi. Nilikiamini kile alichoongea youtube na kile mwanahalisi walichoandika. Mpaka leo sina imani ya kuwa dr uli kalipwa ili ausaliti umma wa watz waliomchangia matibabu. Najua wapo doctors waliohusika kwenye kuratibu utekwaji wake kwani kuna mamluki kibao ninaowafahamu wako in medical practise. Natamani mikoa angalau mitano ingekuwa kama mbeya na arusha,tungeshapata uhuru.
 
tamko lake limekuja wakati mubaya...tupo bize na shekhe Ponda na wafuasi wake pamoja na uamsho.
 
Back
Top Bottom