lifeofmshaba
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 867
- 219
wakuu mbona mimi nashindwa kuweka picha kubwa,
kama kuna mtu anajua amwage hapa maujuzi
ninazo nyingi ila sasa naboreka kuweka sasa
duh nimeshajaribi sana,
picha zote ziko kwenye pc yangu, nifanyeje
kama kuna mtu anajua amwage hapa maujuzi
ninazo nyingi ila sasa naboreka kuweka sasa
duh nimeshajaribi sana,
picha zote ziko kwenye pc yangu, nifanyeje
Pata ujumbe