Haya Angalieni Gari za Ulaya ipi nzuri?

Hivi NYUMBU bado wapo na wanafanya kazi au..?
Mbona hatuoni/kusikia progress zozote au miye mgeni..?
wakiona maonyesho kama haya sijui wanajisikiaje...
 
U can pimp ur ride hata bongo! Kwani hamuoni Limos barabarani?
zimesukwa na mdosi gerezani!
 
Back
Top Bottom