Hawezi kunioa kwasababu hana "MSIMAMO WA MAISHA"

Kama huna msimamo ya nini kuendelea nae? Chapa lapa utakutana asiye na msimamo mwenzio mtaishi. acheni kulalamika nyie wanaume.

waeleze hao. We unakuta mdada kashapigika na life unategemea atatafuta mtu aliyekosa msimamo aendelee kutaabika!
 
"Valid statement" kweli statement zako ziko valid.. basi kama yamekukuta hayo na yako valid kwako, pole!!.. kuachwa kunauma..!!.. nenda mikumi.. wao hawajali cha daktari wala mwalimu.. unajichotea tu.. tena ukisema wewe dereva basi utajaza fuso...

Hao wa vijijini wakija town nao hubadilika,tena hubadilika vibaya sana. Yani kuna wanawake wana msimamo mzuri sana katika mapenzi, hawayumbishwi na mambo kama haya ya kufagilia gari, kazi nzuri na nyumba.
 
Mkuu Valid Statement, hii thread inaonekana umeiandika kwa majonzi makubwa na msisitizo sana, vipi yalikupata ukanyang'anywa tonge mdomoni??
 
msimamo wa maisha= uwezo wa kutunza familia. . . hili hujitokeza sana kama mwanamke ni tegemezi
 
ninakubaliana na wewe mmoja kwammoja nana weng wao wanapenda sana maisha ya juu sana hv kunamtu amezaliwa na mali mana ninashndwaga kuelewa huwa wanavyosema wanataka mtu awe na msimamo wa maisha kwa jutumia mali
 
sna wanawake wenye vipato vyao je nao watasubiri mwenye msimamo? mi naona inategemea na msichana unaekutana nae ni wa aina gani
 
Umenigusa mkuu 100% yalitokea kwangu ingawa sasa afadhali nina Kamsimamo
yaani si msimamo kamili ni KAMSIMAMO............ Naapa yaani ni hivyo hivyo
imeniathiri mpaka sitamani tena kuoa!

hebu legeza hako kamsimamo kidogo..
 
Mwanamke akikupenda ni balaa
Hata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau pamoja na kuwa amesubiri miaka


Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke uliyempenda kwanza kuliko mwanamke aliye kupenda kwanza​

Last edited by tabutupu; Today at 09:57.


HII THREAD MLIVOICHANGIA WANAUME NASHINDWA KUWAELEWA MNATAKA NINI? MKIPENDWA MAKELELE WATU WAKICHUNGULIA WALET MAYOWE VP?
USHAMBA TU WA MAPENZI UNAWASUMBUA

Unajua bebii haya mambo wanayataka wao, sasa subiri watu wahamie kwenye msimamo!!
 
Mkuu wasiokuelewa wanamatatizo yao tu, ulichosema ni sahihi kabisa. Siku hizi hakuna mapenzi ya kweli kabisa isipokuwa ni fedha tu hii ndio ingpelekea kukosekana kwa uamifu ktk mapenzi maana watu kila siku wapo katika harakati za kutafuta good life hivyo wanahama kutoka Bwana Mmoja kwenda kwa mwingine mwenye maslai zaidi. Lakini Kila Mnyonge na mnyonge wake na wewe unaweza kuja huku uswazi mbona wapo wengi tu ambao watakuona wewe ni mfalme kwao hivyo jipime level yako kuepuka usumbufu.
 
Mkuu Valid Statement, hii thread inaonekana umeiandika kwa majonzi makubwa na msisitizo sana, vipi yalikupata ukanyang'anywa tonge mdomoni??

Hayaja ntokea mimi, ila yamemtokea RAFIKI yangu wa karibu sana.
Na imenisikitisha mno, ndo mana nna masikitiko mdau!
 
muelekeo wa maisha ndo unatakiwa
mnashindwa kuwaelewa wasichana
unaweza ukawa una kazi nzuri halafu usiwe na muelekeo wa maisha
muelekeo wa maisha ina maanisha malengo ya baadaye au uliyonayo.
 
Umenigusa mkuu 100% yalitokea kwangu ingawa sasa afadhali nina Kamsimamo
yaani si msimamo kamili ni KAMSIMAMO............ Naapa yaani ni hivyo hivyo
imeniathiri mpaka sitamani tena kuoa!

GAZETI wewe unaweza nielewa zaidi, sababu yameshakukuta. Sasa mafanikio yako yanakuja, na angelijua kuwa utajafanikiwa sidhani kama angekuacha. Je msimamo wa maisha wasichana wanaotaka toka kwa mwanaume ndio unaongoza mapenzi na sio upendo wa kweli? Kwa staili hii, bado wengi wataku BADO BADO SANA kuoa.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom