Hawataki tuachane hata baada ya mimi kuoa

Mwenyeminazi

Senior Member
May 24, 2012
194
67
Naomba ushauri jamani. wasichana woote niliowapa mambo kabla sijaoa wanataka niendelee kuwapa mambo flani.Simu zao zimekuwa chungu kwangu na ndoa yangu. nabadilisha namba nashangaa kuona wanajua namba zangu mpya na nnajiuliza wanazipataje. Namueleza wife kuwa sina mahusiano nao inakuwa balaa..................

NIFANYAJE????????????????
 
Mwenyeminazi, tatizo ulitoa dozi ile ya akiba ambayo ulitakiwa umpatie wife wako, kuna watu ambao wapo karibu na wewe ndio wagawa hizo namba zako so chunga sana utaharibu ndoa yako.
 
Duuh, ina asali au ndio kama ile ya Diamond inayopagawisha madada. Mimi nakushauri mwambie kuwa siku hizi jongoo hapandi mtungi na mke umeoa kisingizio.
 
mademu wengi siku hizi wanapenda hivyo hata kama umeoa anahitaji kuwa nawe anajua huwwezi kumbana tena kwa hiyo anawapanga wastahili hiyo 30 maisha yanaendelea. ndiyo maana utakuta videmu vingi havipendi kuolewa ila vinavizia waume za watu.
 
Naomba ushauri jamani. wasichana woote niliowapa mambo kabla sijaoa wanataka niendelee kuwapa mambo flani.Simu zao zimekuwa chungu kwangu na ndoa yangu. nabadilisha namba nashangaa kuona wanajua namba zangu mpya na nnajiuliza wanazipataje. Namueleza wife kuwa sina mahusiano nao inakuwa balaa..................

NIFANYAJE????????????????

ha ha ha!
 
Jamani Sihongi. Sometimes mi ndio nahongwa. Kuna mmoja anapiga mabiashara yake ya China, Hong kong na kwingineko. Akija hapa DSM tu ananitafuta. ananiagizia gari ya kuja kunichukua. Kabla sijawa muaminifu Nilikuwa nampa. Doozi nilikuwa nawapa. huyo yeye alishawahi kuniambia Hajawahikwenda hewani mata Tatu kwa kwa moja ila mi ndio nimempa. Na akasema Haniachi hata iweje. mi nikajua ni mauongo tu ya pale kunako 6*6. sasa ni kweli anasumbua. sijui nawaachaje. wako kama nane. watatu sio wasumbufu wananitafuta kwa kubip. nishaurini vizuri jamani nahitajikuokoa ndoa yangu wana JF
 
'Ukikua, wataacha'
 
Nilidhani unataka ushauri kumbe umekuja kujigamba. Endelea sidhani kama utasalimika kwa hao wote nane. Siku ukipokea majibu uje tena kutamba.

Jamani Sihongi. Sometimes mi ndio nahongwa. Kuna mmoja anapiga mabiashara yake ya China, Hong kong na kwingineko. Akija hapa DSM tu ananitafuta. ananiagizia gari ya kuja kunichukua. Kabla sijawa muaminifu Nilikuwa nampa. Doozi nilikuwa nawapa. huyo yeye alishawahi kuniambia Hajawahikwenda hewani mata Tatu kwa kwa moja ila mi ndio nimempa. Na akasema Haniachi hata iweje. mi nikajua ni mauongo tu ya pale kunako 6*6. sasa ni kweli anasumbua. sijui nawaachaje. wako kama nane. watatu sio wasumbufu wananitafuta kwa kubip. nishaurini vizuri jamani nahitajikuokoa ndoa yangu wana JF
 
Jamani Sihongi. Sometimes mi ndio nahongwa. Kuna mmoja anapiga mabiashara yake ya China, Hong kong na kwingineko. Akija hapa DSM tu ananitafuta. ananiagizia gari ya kuja kunichukua. Kabla sijawa muaminifu Nilikuwa nampa. Doozi nilikuwa nawapa. huyo yeye alishawahi kuniambia Hajawahikwenda hewani mata Tatu kwa kwa moja ila mi ndio nimempa. Na akasema Haniachi hata iweje. mi nikajua ni mauongo tu ya pale kunako 6*6. sasa ni kweli anasumbua. sijui nawaachaje. wako kama nane. watatu sio wasumbufu wananitafuta kwa kubip. nishaurini vizuri jamani nahitajikuokoa ndoa yangu wana JF

namhurumia mkeo yani kumbe una list ndefu kiasi hicho na hao ndo umejikaza kuwataja anyway kuwa kidume unashindwa vipi kuitetea ndoa yako kuwa serious uwapige marufuku kuanzia kukupigia simu hadi mkikutana mtaani lasivyo unaandaa kaburi la ndoa yako.
 
Back
Top Bottom