Hawara aliyempiga kibuti aukwaa u-Jaji... Kidume ajipanga upya!

Rutashubanyuma hapo ni ku sit back na kuangalia how its gonna work out really.............watoto wata benefit in some way but not necessarily, how? Kama una baba wa namna hii though he is there physically but serving his own interest kweli ana manufaa kwa watoto? malezi wise
 
Last edited by a moderator:
Ruta, too much details
Labda ni coincidence tu ila kama tunaongelea mtu huyo huyo
I wish umwelewe huyu dada bora tu amrudie

Kongosho hawa na wewe unawafahamu ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana huwa nashangazwa na mdudu mapenzi. Hapo sijajua atakuwa amempenda huyo bwana au ujaji?
 
Rais amteua wakili wa Lulu kuwa Jaji

RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha kuwa Jaji wakili wa kujitegemea, Joaquine De-Mello ambaye alikuwa akimtetea msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) anayetuhumiwa kwa mauaji ya msanii mwenzake, Steven Kanumba.

Wakili huyo, ambaye ni mshindi wa tuzo ya Mwanamke Jasiri Tanzania ya Martin Luther King ya mwaka 2012 na ambaye alikuwa pia alikuwa mmoja wa makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG) ni miongoni mwa majaji 10 walioapishwa jana na Rais Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
De-Mello ni miongoni mwa mawakili wanne waliojitokeza Aprili mwaka huu kumtetea Lulu katika kesi hiyo ya mauaji inayomtuhumu kumuua usiku wa kuamkia Aprili 7, mwaka huu.

Mawakili wengine wanaomtetea Lulu ambaye umri wake umekuwa na utata ni Kennedy Fungamtama, Peter Kibatala na Fulgence Massawe.

Akizungumza kwenye viwanja vya Ikulu, De-Mello alisema baada ya kuteuliwa kuwa Jaji, sasa atafanya kazi hiyo na moja ya mikakati yake ni kukabiliana na changamoto za wingi wa kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania.

Ronn M unapompenda mtu si unapenda na mambo yake yote? Kwa hiyo kidume kakumbatia jaji na ujaji wake..............lol
 
Last edited by a moderator:
[MENTION]LD[/MENTION]
labda anaangalia masilahi ya mtoto/watoto wapate malezi ya baba pia kwa
hiyo yeye anajitoa kafara kwa hilo.............

Kafara hilo linamhusu mama tu! Baba mbona hakujitoa kafara au yeye si mzazi? Na anarudishwa na hicho cheo kikiisha na ndoa kwishnei.
 
Ndio maana huwa nashangazwa na mdudu mapenzi. Hapo sijajua atakuwa amempenda huyo bwana au ujaji?

Ronn M unapompenda mtu si unapenda na mambo yake yote? Kwa hiyo kidume kakumbatia jaji na ujaji wake..............lol
 
Last edited by a moderator:
Kafara hilo linamhusu mama tu! Baba mbona hakujitoa kafara au yeye si mzazi? Na anarudishwa na hicho cheo kikiisha na ndoa kwishnei.

Ennie mbona una mtazamo hasi hivyo? Cheo kikiisha na wao si watakuwa wamezeeka kwa hiyo hawana nguvu za kutunishiana misuli tena bali kujituliza kasuka.......lol......kumbuka ujaji hadi miaka 65 na wao bado makinda tu wako damu motomoto tu........
 
Last edited by a moderator:
Rais amteua wakili wa Lulu kuwa Jaji

RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha kuwa Jaji wakili wa kujitegemea, Joaquine De-Mello ambaye alikuwa akimtetea msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) anayetuhumiwa kwa mauaji ya msanii mwenzake, Steven Kanumba.

Wakili huyo, ambaye ni mshindi wa tuzo ya Mwanamke Jasiri Tanzania ya Martin Luther King ya mwaka 2012 na ambaye alikuwa pia alikuwa mmoja wa makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG) ni miongoni mwa majaji 10 walioapishwa jana na Rais Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
De-Mello ni miongoni mwa mawakili wanne waliojitokeza Aprili mwaka huu kumtetea Lulu katika kesi hiyo ya mauaji inayomtuhumu kumuua usiku wa kuamkia Aprili 7, mwaka huu.

Mawakili wengine wanaomtetea Lulu ambaye umri wake umekuwa na utata ni Kennedy Fungamtama, Peter Kibatala na Fulgence Massawe.

Akizungumza kwenye viwanja vya Ikulu, De-Mello alisema baada ya kuteuliwa kuwa Jaji, sasa atafanya kazi hiyo na moja ya mikakati yake ni kukabiliana na changamoto za wingi wa kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania.

Mie simo humo...................nisije nikaambulia kesi ya kuchafua jina la Mheshimiwa............... Elizabeth Dominic
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma hapo ni ku sit back na kuangalia how its gonna work out really.............watoto wata benefit in some way but not necessarily, how? Kama una baba wa namna hii though he is there physically but serving his own interest kweli ana manufaa kwa watoto? malezi wise

Elizabeth Dominic I see where you are driving at but life is too complicated not to give it another trial and see the results........................relying on speculative concerns may sometimes be very harmful...........
 
hakuna cha tamati Rutashubanyuma! miaka mi5 halafu bado tu upo moyoni mwangu, haiwezekani hata kidogo! na hata hao watoto watakuwa wameshazoea kulelewa na mama tu, so sioni tatizo hapo.

cacico hayajakukuta .............yangelikuwa yamekukuta pengine ungelikuwa na msimamo tofauti.......life is all about second chances...................
 
Last edited by a moderator:
wanaume niwepesi wa kupenda na ni wepesi wa kusahau penzi.wanawakw ni wagumu sana ktk kupemnda lakini na akisha kupenda ni ngumu sana kukutoa moyoni
 
huo ni utoto five years then unarudi tena, kipi kipya

awp kipya ni baby come back home.................home sweet home..................and forget our murkier past for we were made for each other.......hicho ndicho kipya hapo..........
 
Last edited by a moderator:
Samahani natoka nje ya mjadala kidogo na kuuliza swali, Hivi hawa majaji wanawake waliochaguliwa hivi karibuni wote wameolewa na wanaishi na familia zao?
 
Back
Top Bottom