Hawara aliyempiga kibuti aukwaa u-Jaji... Kidume ajipanga upya!

Mtalaka hatongozwi, anytime ukijiskia unarudisha majeshi, mwacheni jamaa akafaidi hizo wekundu wekundu,ujaji mchezo jamani?

TajiriMutoto huoni hiyo njaa yake itasababisha sasa atawekwa kamba shingoni asifurukute kama zamani?
 
Last edited by a moderator:
Unarudia kuzungumzia mtazamo wa jamii ambao ni wa hovyo.Niambie namna ndoa inampa mtu hekima,busara,kujiamini,kujitambua n.k..Halafu uniambie kama hayo hayapatikani nje ya ndoa!
Mtazamo wako ndio hovyo..huwezi ona jamii nzima ya watu zaidi ya mabilioni kuwa haina akili wewe ndio mwerevu zaidi..ingawa baadhi ya tamaduni kweli zina tatizo lakini katika hili sidhani kama jamii imepotoka...huwezi mpa mtu kapera , mhuni nafasi nyeti katika taifa.

Simply elewa kuwa being a parent means that you are a leader of a very sensitive pilar of any state. or nation and if you don't have a family or people that depend on you and trust you having faith in that you will protect guide and lead them then you don not have the qualities of leadership..being a leader means that we have entrusted our faith and dreams in you believing that you will show us the right way in achieving them...
 
Kiongozi hapo kwenye bold, inaonekana kinachomrudisha huyo jamaa si mapenzi ya kweli kwa mtalaka wake bali hiyo njaa yake na hiko cheo kipya cha ujaji alichokipata huyo mpenziwe wa zamani.

Kwa kutumia akili ya kawaida kabisa, inaonekana hata kama wakirudiana inawezekana kabisa wakatengana tena maana sababu za msingi zilizofanya wapigane vibuti hazijatatuliwa na pia kinachowaunganisha kwa sasa si upendo ila ni cheo cha ujaji na umaskini wa huyo mpiga kibuti na njaa zake!

Ingekuwa ni busara huyo mpiga kibuti asishadadie cheo cha mtalaka wake na kuendeshwa na njaa zake bali atumie nafasi yake ya kufanya kazi kwa bidii na ajipatie kipato kwa jasho lake mwenyewe badala ya kugeuka mwanaume kama binti ili kulinda hadhi na heshima yake kama mwanaume rijali na pia kusimamia misimamo na maamuzi yake binafsi!

HorsePower wakati mwingine njaa inakupa nidhamu hata kama ni ya uwoga.........kidume nionavyo safari akishikwa atashikamana maana khali yake haitii matumaini hata chembe

Rutashubanyuma, unafikiri kuna sababu gani za msingi za kuifanya ndoa hiyo isivunjike tena? Unafikiri hiko kidume kikija kupata hela kitampenda huyo jaji? Unafikiri nini kitamzuia kuwa na nyumba ndogo? Kumbuka kinachowaunganisha ni pesa siyo mapenzi kaka. Tafakari!

Mi nafikiri si jambo jema mwanaume kuuza utu wako kwa sababu ya njaa, kama uliamua kupiga kibuti kwa sababu za msingi ambazo hazijatatuliwa ni vzr kusimamia msimamo wako bila kuyumbishwa na dhiki au pesa ya mtu, UTU kwanza! Mshauri vyema huyo jamaa.
 
Duh baada ya mambo kuwa mswano....jamaa anataka kurudisha jeshi vitani kweli hii dunia wakati anasaga rami pekee.......jamaa na vishtobe wengine!!No way!!
[MENTION]
KakaKiiza[/MENTION] wakati mwingine ukishikwa shikamana......maana kusaga lami nako kuna machungu yake.........huko huenda mwenzetu akapata mtaji wa kuanzia maisha..................lol na baada ya hapo kama yakimshinda utakuwa wakati mwafaka wa kuchanja mbuga kwa mara nyingine..........
 
Hahaha! Kuna watu hawako strategic hata kidogo! Muambie aache pupa! Aangalie pozi la paka akiwinda nzi. Anatulia tulii! afu anajitokeza baadae.

Marioo inabidi uwe strategic bana!
 
Ndoa lazima mkuu, jamii inachukulia ndoa kama kipimo cha kupevuka kimaamuzi na kiuwajibikaji..mtu mwenye ndoa kutokana na mtazamo wa jamii na kwa kiasi kikubwa anauwezo wa kutoa maamuzi sahihi zaidi kukabiliana na situation fulani kuliko mtu ambae hana ndoa..na ikumbukwe kuwa ndoa ndio msingi wa taifa bora..kama ndoa ni bora basi kiongozi pia anakuwa katika state of mind nzuri ya kulitumikia taifa..kama huna ndoa..jamii inakuona mwingi na mara nyingi huwa hivyo...na irresponsible..hakuna jamii inaweza kukupa jukumu la uongozi kama huna ndoa...hata huko mbele wanaangalia hili jambo pia..kwa jamii nyingi za kiafrika huwezi simama katika vikao vya familia na kusikilizwa kama huna ndoa hata kama una umri wa miaka 70..bado unaonekana mtoto..lakini ukiwa na 20 na una mke basi ushauri wako pia unazingatiwa...kwahiyo no matter what ndoa ina nafasi kubwa sana katika role ya uongozi na mambo mengine..

mkaliwakitaa ngwe ya kwanza ulikuwa ni uhawara labda sasa bibie amkamatie chini..................lol
 
Last edited by a moderator:
Hahaha! Kuna watu hawako strategic hata kidogo! Muambie aache pupa! Aangalie pozi la paka akiwinda nzi. Anatulia tulii! afu anajitokeza baadae.

Marioo inabidi uwe strategic bana!

King'asti mwenzio anasema anarejea kundini la maakuli na penzi nono..............ausubirie nini tena?
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama atapata majibu ya kueleweka toka kwa Jaji kama mie nafukuzia mbali
Jamaa anatamaa tu hana lolote la zaidi
[MENTION]
Firstlady1[/MENTION] kwanini kisieleweke wakati kila mmoja wao katulizwa kiu yake........jaji kapata mume na heshima ndani ya jamii ya kuwa hajazaa hovyo hovyo tu...........na kidume kajipatia mke mwenye uwezo wa kumlisha akala na akashibahuku akilea wanawake waliozaa pekee yake...................chunga makali ya kiu
 
Rutashubanyuma, unafikiri kuna sababu gani za msingi za kuifanya ndoa hiyo isivunjike tena? Unafikiri hiko kidume kikija kupata hela kitampenda huyo jaji? Unafikiri nini kitamzuia kuwa na nyumba ndogo? Kumbuka kinachowaunganisha ni pesa siyo mapenzi kaka. Tafakari!

Mi nafikiri si jambo jema mwanaume kuuza utu wako kwa sababu ya njaa, kama uliamua kupiga kibuti kwa sababu za msingi ambazo hazijatatuliwa ni vzr kusimamia msimamo wako bila kuyumbishwa na dhiki au pesa ya mtu, UTU kwanza! Mshauri vyema huyo jamaa.

HorsePower mwenye njaa hivi anaweza kufikiri? ALiyeshiba ndiye mwenyewe uwezo wa kujipangia............nionacho hapa ni njaa kali na mengineyo yanajijaliza yenyewe............ingawaje tusisahau watoto ndiyo the biggest beneficiary.........................watakuwa na malezi ya baba pia...........................ingawaje hatuwezi kufumbia macho malengo ya kidume kwenye hili..................mmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhh

  • :pray:
 
Last edited by a moderator:
Firstlady1 kwanini kisieleweke wakati kila mmoja wao katulizwa kiu yake........jaji kapata mume na heshima ndani ya jamii ya kuwa hajazaa hovyo hovyo tu...........na kidume kajipatia mke mwenye uwezo wa kumlisha akala na akashibahuku akilea wanawake waliozaa pekee yake...................chunga makali ya kiu

kumbe hayo ndo malengo ya kidume
Basi jamaa hajaenda kwa jaji kwa mapenzi ya kweli
zaidi kwa vile atakavyopata toka kwa jaji
hakuna ndoa hapo
Baada ya muda migogoro inaanza
Jaji anatoa divosi
 
Rutashubanyuma hapa hamna ushauri zaidi ya criticism............kweli it seems both parties wanajua kabisa kurudiana ni inevitable hivyo basi wa kumshauri hasa ni huyo Judge ambaye ameshindwa ku judge, huyo bwana ana motives zake na hamna wa kuzuia sasa wewe umwambie nini? Anafanya vibaya, it won't work in the long run, money and power won't give him happiness...............
 
Last edited by a moderator:
tuongelee na masilahi ya watoto pia siyo kuwashupalia wazazi pekee yao.....................watoto wanastahili kulelelwa na wazazi wote pia..................hata kama wazazi wana mapungufu
 
Rutashubanyuma hapa hamna ushauri zaidi ya criticism............kweli it seems both parties wanajua kabisa kurudiana ni inevitable hivyo basi wa kumshauri hasa ni huyo Judge ambaye ameshindwa ku judge, huyo bwana ana motives zake na hamna wa kuzuia sasa wewe umwambie nini? Anafanya vibaya, it won't work in the long run, money and power won't give him happiness...............

Elizabeth Dominic morally speaking you are spot on........tatizo ni kuwa can I reason with an hungry man?..........ni mpaka aende huko ale ashibe khalafu yakimshinda anirudie nimshauri ajipange tena upya...................money is not everything but hunger is.................it is a health threatening issue............ na huyu kidume ni mihayo tu imemkithiri........tumbo linadai ubwabwa na bibie sasa kajipanga vyema kumkabili
 
Last edited by a moderator:
kumbe hayo ndo malengo ya kidume
Basi jamaa hajaenda kwa jaji kwa mapenzi ya kweli
zaidi kwa vile atakavyopata toka kwa jaji
hakuna ndoa hapo
Baada ya muda migogoro inaanza
Jaji anatoa divosi

Mapenzi ya keli leo umeyasikia wapi....................ni watu wanapigiana mahesabu tu.............. FirstLady

Kidume akipigwa kibuti haina shida bora kasukuma siku.......
 
Last edited by a moderator:
Ruta, too much details
Labda ni coincidence tu ila kama tunaongelea mtu huyo huyo
I wish umwelewe huyu dada bora tu amrudie
 
kumbe hayo ndo malengo ya kidume
Basi jamaa hajaenda kwa jaji kwa mapenzi ya kweli
zaidi kwa vile atakavyopata toka kwa jaji
hakuna ndoa hapo
Baada ya muda migogoro inaanza
Jaji anatoa divosi

Mapenzi ya keli leo umeyasikia wapi....................ni watu wanapigiana mahesabu tu.............. FirstLady

Kidume akipigwa kibuti haina shida bora kasukuma siku.......
 
Last edited by a moderator:
cacico usiseme hivyo kama angelikuwa ni mzazi mwenzio na kazi ya kulea watoto hata kuwapeleka shuleni na kudhibiti nidhamu nyumbani na ukijumlisha na heshima ndani ya jamii basi utajikuta umejisalimisha na yote yafikie tamati................lol
hakuna cha tamati Rutashubanyuma! miaka mi5 halafu bado tu upo moyoni mwangu, haiwezekani hata kidogo! na hata hao watoto watakuwa wameshazoea kulelewa na mama tu, so sioni tatizo hapo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom