Hawa Watu Wako wapi? Yusuf Makamba, Tambwe Hizza na Kingunge

sifahamu kuhusu Makamba bali Tambwe Hiza huyu baada ya kulaaniwa na Mungu ( kumbuka aliahidi jambo la aibu sana kama angehamia ccm ! Bila shaka amelitimiza ) , alitumikishwa kama tambala la deki baadaye wakamtupilia kule , anatembelea balloon iliyochoka mno , haina hata taa za pembeni ( indicators ) , traffic police badala ya kumkamata huwa wanamhurumia tu ! Anashinda pale LAURE PUB , kwenye kona ya kuelekea uwanja wa taifa , naomba ku dedicate wimbo kwa ajili yake , DUNIA HAINA HURUMA - BAHATI BUKUKU .
 
Wana jamvi wa JF, kuna wanajamii wa CCM ambao nahisi siku hizi wapepotea KISIASA! Siwasikii kabisa! Yusuf Makamba, Tambwe Hizza, Kingunge Ngombare, Ridhiwan Kikwete, Rostam Abudlrasud Aziz na John Chiligati. Mbona "WAMEPOTEA?" Kulikoni?:photo:

Umemsahau na Wilson Mukama, ila nadhani wameshatumika hivyo wamewatupa wanatumia wemgine kwa style ile ile
 
Wana jamvi wa JF, kuna wanajamii wa CCM ambao nahisi siku hizi wapepotea KISIASA! Siwasikii kabisa! Yusuf Makamba, Tambwe Hizza, Kingunge Ngombare, Ridhiwan Kikwete, Rostam Abudlrasud Aziz na John Chiligati. Mbona "WAMEPOTEA?" Kulikoni?:photo:

makamba anazunguka kuzuia kura za maruan kwa kikwete,kngunge anaupggania muungano,tambwe hiza anakusanya wanafunz kuwapeleka karmjee kuna mdahalo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom