Hawa Watu Wako wapi? Yusuf Makamba, Tambwe Hizza na Kingunge

chuwaalbert

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
3,598
2,115
Wana jamvi wa JF, kuna wanajamii wa CCM ambao nahisi siku hizi wapepotea KISIASA! Siwasikii kabisa! Yusuf Makamba, Tambwe Hizza, Kingunge Ngombare, Ridhiwan Kikwete, Rostam Abudlrasud Aziz na John Chiligati. Mbona "WAMEPOTEA?" Kulikoni?:photo:
 
we unajua kama wamepotea afu unauliza wako wapi,? Mbona unajikanyaga kanyaga mkuu?
 
Wana jamvi wa JF, kuna wanajamii wa CCM ambao nahisi siku hizi wapepotea KISIASA! Siwasikii kabisa! Yusuf Makamba, Tambwe Hizza, Kingunge Ngombare, Ridhiwan Kikwete, Rostam Abudlrasud Aziz na John Chiligati. Mbona "WAMEPOTEA?" Kulikoni?:photo:
Wengi wao midomo yao imewapeleka kusikojulikana!
 
Wana jamvi wa JF, kuna wanajamii wa CCM ambao nahisi siku hizi wapepotea KISIASA! Siwasikii kabisa! Yusuf Makamba, Tambwe Hizza, Kingunge Ngombare, Ridhiwan Kikwete, Rostam Abudlrasud Aziz na John Chiligati. Mbona "WAMEPOTEA?" Kulikoni?:photo:
wakiongea mnachonga wakikaa kimya mnalalama. hivi mkoje nyie mafala. simuwaache wazee wa watu wajipumzikie?
 
Jibu swali si unaongea kama uko kijiwe cha wapiga domo na wasio na kazi.
U great thinka ni pamoja na majibu sahihi,vinginevyo upeo wako ni kulee iwanda wa mipasho.
 
Makamba anaendesha mabasi ya shambalai,kingunge anauza maji ya uhai ubungo kibangu,tambwe hiza yuko ubungo mataa anauza koni,chiligati anashughulikia mafaili ya ndani ccm,ridhiwani anasoma phd Udsm na rostam amerudi kwao bombay!
 
Walisema walima korosho "kila msimu na mchwao" ishakuwa hadithi bado kuandka historia.
 
index.jpg
alivuma sana baada ya kutoka upinzani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom