HAWa WANAOZUSHA KIFO CHA DR ULIMBOKA WANA HILA GANI

Status
Not open for further replies.

Dr Klinton

Senior Member
Jan 21, 2012
123
152
AnGALIA hIZI NI HISIA ZA GREAT THINKER MMOJA....

Mimi nina SHAKA na TAARIFA MCHANGANYIKO JUU YA HALI YA COMRADE ULI, upande mmoja tunaambiwa yuko mahututi (UNCLEAR SOURCE), upande wa pili tunaambiwa anaendelea vizuri (DOCTORS). Who is the OTHER (UNCLEAR) SOURCE? To me, i am starting to smell a rat. Dilemma. Either ni kweli kuna instability katika hali ya comrade au kuna 'watu' wameamua kutoa TAARIFA POTOFU. Kama hili la pili ni sahihi (taarifa potofu), basi hapo ndipo SHAKA YANGU inazaliwa. Ni nani huyu anayetoa taarifa hizi, kwa lengo gani? Ninajiongeza (extrapolation), kwamba pengine ni 'adui', ambaye jaribio lake limefeli, lakini hajakata tamaa, anatafuta njia ya kumalizia 'kazi'. Taarifa hizi za hali mbaya zinaweza kutumika baadaye (paving the way) endapo atafanikiwa. Kwamba, hali yake ilikuwa ikidorora kila siku, kwamba alikuwa kwenye 'life support', kwamba alikuwa kwenye 'coma'. Kana kwamba tunaandaliwa kisaikolojia kupokea matokeo, if the worst is done! Nitoeni shaka plz, usalama wa comrade upewe priority.

MWISHO WA NUKUU

Mtazamo WANGU

NAONA USALAMA WANACHEZA MCHEZO MCHAFU HAPA AMBAO HAUTAFANIKIWA KWA WALIVYOSHONDWA KUFANIKISHA MENGINE

BBC WAMESEMA YUKO MAHUTUTI

BAADAE MTAANI OOHH MNAONGEZEA UZUSHI MWINGINE ......

LAANA YENU IMEISHA ANZA HAPA HAPA DUNIANI
 
Mkuu kuna mijitu ya ajabu sana,hizi taarifa za uzushi zina malengo mabaya ila wao siyo Mungu.Tuzidi kumtegemea Mungu
 
Achana nao ajidhaniaye amesimama ahakikishe hajaanguka. Watakufa wengi wao kwanza kabla ya kutokea matabirio yao. Hujasikia anayemuuguza mgojwa mahututi hospitalini kujikuta anakufa na aliyekuwa mgonjwa anapona? Wasiojua maana hawaambiwi maana.
 
watu wengi wanatawaliwa na roho ya unafiki.AFE AU APONE SIKU ZOTE ATAENDELEA KUWA SHUJA WETU NA HAKIKA HITORIA ITAMTENDEA HAKI .
 
jamani kwa walio na taarifa za uhakika juu ya hali ya mpendwa wetu Dr. Uli watujuze kwani nimepigiwa sasa hivi na Dr. Mmoja toka Morogolo akiniambia kwamba Dr. Uli amefariki ebu tuondoeni shaka si tulio mbali jamani kwani hii inatia uchungu sana.
 
Mtu yupo Lumumba na Dr yupo Arfikakusini anatokea na kuandika ktk fb DR mahututi.Tuache uzushi wakipuuzi kama ni kupona au kuchukuliwa uhai wake ni Mipango ya Mungu,tuayaache tutapata taarifa na sii uzushi wa vijiwe vya mitaa ya Lumumba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom