Hawa wanajua Tanzania tumerogwa na nani. Kamati ya ufundi

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
(1) Rais (Muungwana)------> Kutoka Bagamoyo
(2) Makamu wa Rais (PHD)-->Katokea Pemba
(3) Waziri Mkuu (Son of Peasant (SOP))---> Katoka Sumbawanga
Hivi bado tunajiuliza tumerogwa na nani?????
Maeneo waliyotoka hao jamaa ni kielelezo tosha cha ni nani katuroga na nani atupe jibu kama tumerogwa nani katuroga.
Mwaweza ku add mengine katika hiyo list...
 
Ujinga wa Watanzania basss hakuna cha kurogwa wala nini....watu mtakaaje na chama miaka 40 na njaa, maradhi na ujinga?
 
Jibu lako (kurogwa) kama sababu ya tatizo letu (kudumaa kimaendeleo) halina utatuzi.
Yani sasa kama hatuna maendeleo kwasbabau viongozi eti ni wachawi tufanyeje sasa na huo uchawi. Uchawi waweza zuiwa kwa kura! I don't want to criticize you soo much because I don't think your comment was serious.

So maybe it's just one of those threads...
 
hawa wote hawajatuloga, aliyetuloga ameshakufa, na hakuna wa kufungua mtego wake, pona yetu ni maombi kwa Mungu tu..huu ndo ukweli wake..wewe unayekataa kulogwa ndo wakwanza kuviringisha hirizi kiunoni..wewe junuss
 
Huyo aliyetuloga yeye amefaidika nini?

(I can't believe I'm responding to this but I don't have anything better to do)
 
Pona yenu ipo katika mikono yenu inayopiga kura. Mkipiga kura mumuombe Mungu awaongoze na kuwapa uamuzi wa busara, NAYE atawasikia.
 
Huyo aliyetuloga yeye amefaidika nini?

(I can't believe I'm responding to this but I don't have anything better to do)
Tukianza na JK
Reffer alichokisema Mwanza "Wanafunzi wanaopata mimba ni keherehere chao" na "wanaopata Ukimwi wameufuta wenyewe"
After this wa TZ wakampigia makofi na baadaye wakamuita Mungubabu = Anaongoza kama Mungu vile.....
Jamaa (Muungwana) atakuwa ameturoga Wa Tanzania lazima lazima yan....coz ni mtu aliyerogwa anaweza ku respond kama walivyo respond ndugu zetu wa Mwana
 
Umeniacha sina mbavu!!!

Lakini Bramo, mara kadha nimekuwa nasema humu JFi kwamba tuna makundi ya kondoo humu nchini badala ya binadamuj, na Muungwana analielewa hilo fika, ndiyo maana madudu yake yanapigiwa makofi. Siyo kurogwa.
 
Mi ndo umenivunja mbavu kabisa mkuu
 
Mod hii thread inangoja nini hapa, peleka ktk jukwaa la utani, by the way hum JF watu wanaposema wachaga wanyakyusa wahaya wamejaa mahala nyeti kwa upendeleo watu wanakua wakali kwelikweli,lakini kwahili kwakuwa katajwa jk linachuliwa simple, nchii hii ni vigumu kukwepa imani iliopo ya tabia za watu kutokana na makabili
 
Back
Top Bottom