Hawa wanajeshi ndio mnaotaka waende vitani? Kweli?

Mishahara yao ni midogoo sana hasa hawa ma MP na Private lakini ma boss wao mishahara minonoo mpka basi kwahyo sishangai wakiwa kwnye hali hiyo na kunywa viroba ukiona sehem wanazoishi utasikitika sana,!
 
Naomba tusiende vitani tutumie njia nyingine kabisa twendeni hata kwenye mahakama za kimataofa ..hawa wengi wao wamefoji vyeti watatuaibisha
.View attachment 61387

huyu ni sawa na sam hood. akiwa hana kazi anasinzia na msokoto wa bangi mdomoni lakini mpe mtutu uone kazi yake. ni noumer. hicho kiroba alichoshika ndo kimemchanganya lakini jamaa yupo fiti kinoma. mia
 
Huyu wakwetu kasinzia na KONYAGI (kiroba)...Weka picha na askari wa MALAWI akiwa na kiroba cha POWER (aina yao ya konyagi) tuone nani anaonekana MCHOVU ZAIDI kabla hatujaamua kwenda VITANI...Kupgianisha WANYWA VIROBA HAWA

Anatafakari huyo oooh! lol
 
hajalala huyo, kapozi tu. Hapo akisikia Mamuuuuuu huyo atapiga bonge la salute.
 
Kila familia haikosi katumbili keusi hebu watazame na hawa...

siku%2Bya%2Bmashujaa%2B2.JPG
 
Huyu wakwetu kasinzia na KONYAGI (kiroba)...Weka picha na askari wa MALAWI akiwa na kiroba cha POWER (aina yao ya konyagi) tuone nani anaonekana MCHOVU ZAIDI kabla hatujaamua kwenda VITANI...Kupgianisha WANYWA VIROBA HAWA

Askari wa Malawi wanashindia dagaa wa Lusipa, njaa kali ile mbaya. Bunduki hawezi kuibeba ndio maana wameamua kurudia enzi za upinde na mshale
 
Naomba tusiende vitani tutumie njia nyingine kabisa twendeni hata kwenye mahakama za kimataofa ..hawa wengi wao wamefoji vyeti watatuaibisha
.View attachment 61387

Mkuu mbona huyu ni askari wa Malawi? kumbuka ma-MP wa Tz hawavai sare hizi. lakini Malawi hata ukipita kwenye Geti za barabarani utakuta maaskari wamevaa namna hii. hiyo MP ni Malawi Police, nina uhakika 100%. Au wewe ni Mmalawi unatutisha nini?
 
Mishahara yao ni midogoo sana hasa hawa ma MP na Private lakini ma boss wao mishahara minonoo mpka basi kwahyo sishangai wakiwa kwnye hali hiyo na kunywa viroba ukiona sehem wanazoishi utasikitika sana,!

disconnected!...
no connection at all!
kwani wale wanaolala bungeni kipato chao kikoje?
ukiniambia ELIMU ndio tatizo ntakuelewa.!
au vip mzeiya?
 
Back
Top Bottom