Hawa wanafaa uwaziri mkuu Pinda akianguka...

Mtoa hoja jipange upya. Hayo majina uliyoyaleta wadau walio wengi wameyakataa.
 
Amchukue Augustine Mahiga yule wa UN ni kichwa bungeni hamna anayefaa,atoke nje kama Mwinyi alivyomleta Malechela
 
Kwa hali ya uzalendo , uzoefu na misimamo waliyonayo katika kazi zao na katika kusimamia masilahi na mali za taifa dr magufuli aka mzee wa kauili kali ni mtu anayeweza kuwa waziri mkuu akaweza kuwabana watafuna fedha za uma.mtu mwingine anayeweza kufanya kazi hiyo ni mzee sita .



Pole sana kwa utafiti wako finyu.Kama wamekutuma kupima upepo basi waambie upepo uvamao sasa ni wa Kusi, ukivuma kutokea mashariki kuelekea Kusini.Inshort Magufuli does NOT FIT and will never fit to become a PM.Ni mtu wa jazba na visasi vya kike na zaidi ya yote ana maamuzi ya kukomoa na kukurupuka.Amejaa kejeli na kauli chafu zisizo na utu.HAFAI.Sitta ni mnafiki,amepoteza sifa baada ya kuficha ukweli ktk sakata la RICHMOND.Kwa hili hasafishiki kamwe hata akinywa sabuni ya OMO.:target:
 
Kwa hali ya uzalendo , uzoefu na misimamo waliyonayo katika kazi zao na katika kusimamia masilahi na mali za taifa dr magufuli aka mzee wa kauili kali ni mtu anayeweza kuwa waziri mkuu akaweza kuwabana watafuna fedha za uma.mtu mwingine anayeweza kufanya kazi hiyo ni mzee sita .

Hamna mzalendo hapo wahenga walisema ukitembea na mwizi nawe ni mwizi.Uongozi bora hauwezakani ndani Magamba.
 
Kataka alama kuna good,better na best sasa yeye ni better.kama hamtaki subiri mpewe full kilaza kama bwana vasco da gama .sitta hafai ni zaidi ya mnafiki na anajitafutia umaarufu maana yeye ni bendera na mpayukaji na siyo mtendaji.ameshindwa kudhibiti ufujaji wa fedha jimboni kwake huku ataweza.Ben Membe hanatofauti na pinda kwa upole na hajui kutetea kipi sahihi na kipisiyo.
 
kwa hali ya uzalendo , uzoefu na misimamo waliyonayo katika kazi zao na katika kusimamia masilahi na mali za taifa dr magufuli aka mzee wa kauili kali ni mtu anayeweza kuwa waziri mkuu akaweza kuwabana watafuna fedha za uma.mtu mwingine anayeweza kufanya kazi hiyo ni mzee sita .
lusinde na mwigulu vipi?mmoja wao anaweza kuukwaa uwaziri mkuu.
 
Ni keeli waziri Mkuu lazima awe mbunge wa jimbo someni katiba ya nchi wajameni. Ndio maana twahitaji mabadiliko ya katiba ili hata ikibidi ateuliwe na rais hata kama si mbunge au awe mbunge wa Viti Maalum. Tunahitaji PM jembe na si vinginevyo. Mbona wamejaa kibao mfano Salim Ahmed Salim
 
Sure mkuu,nijaribu kumkumbusha jamaa mambo ya Magufuri alipomuhonga demu wake nyumba ya serikali kwa kigezo eti kainunua.

Tunajua Mawazi wote wameoza ila:MAGUFURI,SITA,MWANRI wana nafuu kidogo.Wanajitahidi sana.Kama unamkataa toa mbadala.
 
Kumbukeni na kauli za magufuri za kibabe,vipi kiongozi wa nchi unaweza waambia wananchi wako wasio na uwezo for 300tsh wapige mbizi?
That's why mkuu wa kaya ya Temeke alimwita wa kuja!

Kwa kuwa wote waliojadili ongezeko la shilingi mia tatu ni WENDAWAZIMU WAKIWEMO WABUNGE WAO NDIYO MAANA ALIWAJIBU HIVYO KWA KUWA INATAKIWA UMJIBU MPUMBAVU SAMBAMBA NA UPUMBAVU WAKE ASIJEKUJIONA NI MWENYE HEKIMA MACHONI PAKE. SUKARI IMEPANDA, MAFUTA YAMEPANDA KWA ZAIDI YA THS.300 SIKUONA WAKUJADILI WALA KUTAKA KUANDAMANA LAKINI ILIPOFIKIA SUALA LA KIGAMBONI WAJINGA WOTE UKOWEMO WEWE MKAKOMAA NA KUJIFANYA MNATETEA WANANCHI KWA UNAFIKI WENU ALIWAPA KILE MNACHOSTAHILI. TZ NI MOJA WENGINE WALIPE NAULI KUBWA KWA UZURI GAI MLIO NAO KULIKO WATZ WENGINE. KUHUSU NYUMBA MLILIE MKAPA MAGUFULI HAHUSIKI KAMWE KWANI UZOEFU UNAONYESHA WAZIRI AKITOA USHAURI BOSS ANATIA NGUMU KAMA HILI LA MAWAZIRI WANANE WAKUBWA WAMEANZA KUTOFAUTIANA UNATEGEMEA NINI KITATOKEA?
NI KWELI KAMA HUWEZI KULIPA MIA TATU PIGA MBIZI KILA KITU MNATAKA KUBEMBELEZWA TU UKWELI HAMTAKI. VIVA AND LONG LIVE DR JOHN POMBE MAGUFULI
 
Hii inaonyesha ni kiasi gani magamba yalivyoota ukurutu!
Yani yote ni full uchafu mkuu.
Walahi uchaguzi mkuu ujao hali itakua tete sana.Sipati picha huyo atakayesimamishwa na "sisi hemu"ataanzaje kuomba kura?

Mbona Sioi alisimama arumeru na akaomba kura na akshindwa kiduchu..usipende sana ushabiki na maneno ya nakshi, CCM inatoa Rais hata wakimweka Ngeleja aliyetuzimia umeme miaka yote hii (after all watumiaji umeme ni asilimia 14 tu tz wengi giza ni jadi yao na watampa kwa sababu mageuzi kamili bado hayajafika wakati wake...labda 2025.kua realistic kijana
 
Back
Top Bottom