CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Hivi yule mama wa Same mbona kimya sana kunani?au kishakabidhiwa mgao wake kama enzi zile za akina MZINDAKAYA?mpaka akapigwa kufuri la kudumu?
hapo mkubwa umenena bw.Lowassa anaweza coz hayaonei haya maamuzi magumu.Mzee wa mvi za busara, Edward Lowassa ndio anafaa peke yake.
wote hawafai
Hadi sasa sijaona anaeweka kuwa waziri mkuu huko CCM. Labda watengue kanuni achaguliwe toka upinzani hasa chadema, huko wapo wa kumwanga.
Aggrey Mwanri ndie anaefaa..
Aggrey Mwanri ndie anaefaa..