Hawa wanafaa kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA!

Aliyeleta hii thread nadhani ni gamba, ajue kuwa CDM ni chama makini na kila mwenye vigezo anaruhusiwa kuchukua fomu ya kugombea na kura ya maoni ikaamua nani asimamishwe, sisi siyo magamba wanaofanya uchaguzi huku wakimjua mshindi kabla ya kura. Pia nakushangaa kuzungumzia swala la uraisi sahivi wakati huu ni muda wa chama kufanya mambo ya maendeleo majimboni. Ushindwe na ulegee pamoja na huyo aliye kutuma.
 
Dr slaa, hana ila YOYOTE! Mbona mwatapatapa??? Huu sio wakati wa kufanya majaribio, tutamsimamisha kugombea anayestahili kuwafanya watz kusahau dhiki zao zilizoletelezwa na magamba. Na huyo ni dr wa ukweli SLAA.

Yes!

Una akili sana. Ngoja niangalie kwenye banda nikupe hata yai moja.
 
NI MPUUZ HUYU KADASH HANA LOLOTE CDM HATUTEGEK KIFALA CDM co km magamba hatnaporojo ce mwendo mdundo.
 
tujipange kutoa elimu ya uraia hasa sehemu za vijjini ili wananchi wengi wahamasike kudai mabadiliko ndo tuwaulize wanamtaka nani awe MUSSA wao kuelekea nchi ya asali na maziwa.
 
Aliyeleta hii thread nadhani ni gamba, ajue kuwa CDM ni chama makini na kila mwenye vigezo anaruhusiwa kuchukua fomu ya kugombea na kura ya maoni ikaamua nani asimamishwe, sisi siyo magamba wanaofanya uchaguzi huku wakimjua mshindi kabla ya kura. Pia nakushangaa kuzungumzia swala la uraisi sahivi wakati huu ni muda wa chama kufanya mambo ya maendeleo majimboni. Ushindwe na ulegee pamoja na huyo aliye kutuma.

Mbona zitto huwa anaitwa na wazee kina mtei na kulazimishwa ajitoe?
 
Back
Top Bottom