Hawa wanafaa kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA!

Dr slaa, hana ila YOYOTE! Mbona mwatapatapa??? Huu sio wakati wa kufanya majaribio, tutamsimamisha kugombea anayestahili kuwafanya watz kusahau dhiki zao zilizoletelezwa na magamba. Na huyo ni dr wa ukweli SLAA.
 
Poleni sana wana-JF wote mnaojadili thread hii.
Poleni kwa sababu mmenaswa kwenye mtego wa 'political diversion'.
Mtego huu unafanya kazi kama ifuatavyo:-
Kukiwa na maswala muhumu ya kujadili kwa wakati uliopo, mtu mmoja anaanzisha swala jingine tofauti kabisa.
Halafu anaugwa mkono na wenzake wachache wakijifanya kujibizana. Hapo wengine wengi hujikuta wakiingia kwenye majibishano hayo, na kuacha maswala muhimu. Ni sawa na mwizi aliyeiba pesa benki halafu akaanza kukimbia.
Watu wanaomkimbiza ili wamkamate watategwa na mwizi huyo kwa kutupiwa mabunda ya pesa barabarani.
Basi watu hao wote wataacha swala muhimu la kumkimbiza mwizi, na woote watajikuta wanakimbilia kuokota pesa.
Kwa sasa kuna maswala muhimu bungeni kuhusu ufisadi mkubwa sana (taarifa za kamati za bunge), uozo mkubwa sana katika utendaji wa serikali, nk.
Lakini wana-JF wamenaswa kwenye 'diversion' ya mambo ya uraisi wa 2015 !!!
Poleni wana-JF mlionaswa huko.
 
Wewe umepona na "mtego" huo?kiufupi mi sioni mtego wowote,hii jf,kuna mambo mengi humu anzia siasa,michezo,mapenzi,habari mchanganyiko mpaka jokes na kila kimoja kinapata stahili yake ya mijadala,kupanga ni kuchagua,wewe kwa mfano umeingia kwenye "mtego" bila kujijua na kujikuta ukitumia muda mwingi ambao ungeweza kuutumia kwenye kuchangia mambo unayoyaona ya maana zaidi,umetegwa ukategeka!

pole sana.
 
WANACHADEMA HUYU MWENYE ID KIM KARDASH NI GAMBA,ANATUPOTEZA.anaweza kusema tumsimamisha millya arusha mjini 2muache lema.mara zote anakuja na mada za kukibomoa chadema.NAAPA KWAMBA SITAKAA NIICHANGIE THRID YAKE NA MUNGU ANISAIDIE.it seem that wote walotoa michango yao hapa ni magamba.
Kwa wametofautiana mawazo na wewe?
 
Poleni sana wana-JF wote mnaojadili thread hii.
Poleni kwa sababu mmenaswa kwenye mtego wa 'political diversion'.
Mtego huu unafanya kazi kama ifuatavyo:-
Kukiwa na maswala muhumu ya kujadili kwa wakati uliopo, mtu mmoja anaanzisha swala jingine tofauti kabisa.
Halafu anaugwa mkono na wenzake wachache wakijifanya kujibizana. Hapo wengine wengi hujikuta wakiingia kwenye majibishano hayo, na kuacha maswala muhimu. Ni sawa na mwizi aliyeiba pesa benki halafu akaanza kukimbia.
Watu wanaomkimbiza ili wamkamate watategwa na mwizi huyo kwa kutupiwa mabunda ya pesa barabarani.
Basi watu hao wote wataacha swala muhimu la kumkimbiza mwizi, na woote watajikuta wanakimbilia kuokota pesa.
Kwa sasa kuna maswala muhimu bungeni kuhusu ufisadi mkubwa sana (taarifa za kamati za bunge), uozo mkubwa sana katika utendaji wa serikali, nk.
Lakini wana-JF wamenaswa kwenye 'diversion' ya mambo ya uraisi wa 2015 !!!
Poleni wana-JF mlionaswa huko.

Naunga mkono hoja,waleta thread wanamna hii wala hawafikirii masuala ambayo burning,hivyo wao kwao ni kukurupuka tu hata kwa mambo ambayo hayahitaji kubwabwaja.
 
mtoa maada hujapiga mswaki, vitani watu hawaendagi kujaribu silaha wanaenda wakiwa na uhakika wa silaha wambie magamba hoja hiyo, maana wao hupima kwa umaarufu na sikwa uwezo pooooole
 
dr. Slaa
halima mdee
zitto kabwe
john mnyika

siyo kwa umuhimu. Sijajua umri wao lakini chochote chaweza kutokea kabla ya 2015 na kuwapa nafasi kiumri.

john mnyika katulia zaidi na ana maono ya kitaifa zaidi pia likija suala la vijana anaweza kuzo kula zaidi,

ila slaa anaweza chukua 2015 then 2020 mnyika au zito kwa hiyo vijana wasije vutana na slaa maana uongozi wao uko katika kona baada ya slaa tu.
 
WANACHADEMA HUYU MWENYE ID KIM KARDASH NI GAMBA,ANATUPOTEZA.anaweza kusema tumsimamisha millya arusha mjini 2muache lema.mara zote anakuja na mada za kukibomoa chadema.NAAPA KWAMBA SITAKAA NIICHANGIE THRID YAKE NA MUNGU ANISAIDIE.it seem that wote walotoa michango yao hapa ni magamba.
Lama unaona mbali zaidi ya darubini! usipokuwa makini utaenda na maji.. magamba wanajipenyesha kuingiza sumu kiakili lakini kwa wasiokuwa na akili! big up sana..
 
Huyu mtu alikuwa ni straight 'A' student P.C.M sekondari, na akaenda mlimani na division I, lakini kutokana na hulka yake ya uana harakati, wakam disco kwa makusudi; Ni kweli akijiendeleza litakuwa jambo la busara sana;

Ukiwa na A's haimaanishi kwamba huwezi ku disco, uanaharakati isiwe kisingizio...
 
"ukiona kila anayetajwa kuwa Rais wa Tanzania 2015 hafai huenda unayefaa ni wewe jaribu bahati yako"
 
Umeshanijibia naishia hapa. Natafuta thread ingine asante
Dr slaa, hana ila YOYOTE! Mbona mwatapatapa??? Huu sio wakati wa kufanya majaribio, tutamsimamisha kugombea anayestahili kuwafanya watz kusahau dhiki zao zilizoletelezwa na magamba. Na huyo ni dr wa ukweli SLAA.
 
Naona watu mnaanzisha thread za kutafutia 'like' haya bana subirieni mtagongewa na kugongeana sana.
 
wewe mwenyewe unafaa kugombea urais kupitia cdm jivue gamba kwanza.wengine ni shibuda,ole milya.lowasa,agustino lyatonga mrema,bila kumsahau mzee mapesa cheyo
 
kila jambo na wakati wake kwa sasa tujikite kujadili nanma ya kupeleka elimu vijini kama mtwara dodoma Tanga na kwingineko ambako mwamko ni mdogo suala la urais muda ukifika tutajadili na kutoa mapendekezo.
 
Back
Top Bottom