Hawa wameingiaje sekondari?

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Waja JF mnisaidie. Kama siku mbili zimepita nilisikia magazetini kuwa mkoa fulani wamepatikana wanafunzi wengi wa shule za sekondari hawajui kusoma na kuandika. Hivi, wamefikaje sec.? Mtihani wa darasa la 7 walifaulu kwa njia ipi. Hainingii akilini ndugu zangu.
 
na jinsi mtihani wa kidato cha pili ulivyopunguzwa nguvu,yani form four leavers waliofeli watakuwa wengi ile mbaya.......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom