Hawa Wahaya Growing up African wanaboa...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Yan wameamua kuuza sura tu kwenye hii EATV, kipindi chao hakina maana, hakina ujumbe wala hakifurahishi. Yan kila mtu analalamika hawa watu kupewa mda wa kupotezea watu kwenye hii tv kipenz kwa vijana.
 
Back
Top Bottom