Hawa waDanish wamechonga barabara kweli kweli!!

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Nimepita juzi nikielekea nyanda za juu kusini.
Kando kando mwa mto Ruaha, opposite na Udzungwa Reserve nimeona hii barabara na nimeifurahia.
Hawa kweli si wachina!! CIMG0013.JPG
 
waje watutengenezee na hii barabara ya kilwa.kuanzia pale gerezani hadi mbagala rangi3.mia
 
Hiyo barabgara kweli imetulia. wasi wasi wangu ni kuwa hawa madereva wetu vichaa watatumaliza kwelikweli eneo hilo
 
Napendekeza serikali ingewapa tena kazi ya kutengeneza barabara zingine hawa jamaa, wachina wapewe kazi za kujenga madaraja sio barabara za lami.hiyo barabara hata mie nilipita iko kwenye viwango vya juu sana Hongera DENMARK
 
yaah! Ya ukweli mno ile barabara, kama ukisinzia halafu ukaamka ndo upo maeneo ya lupelo mountains,kwenye hiyo barabara utajiuliza kama upo Tanzania au labda out of country, the view and scenario is spectacular!
 
How can someone tell the difference in qualities by just looking at the picture? Please help me.......
 
Napendekeza serikali ingewapa tena kazi ya kutengeneza barabara zingine hawa jamaa, wachina wapewe kazi za kujenga madaraja sio barabara za lami.hiyo barabara hata mie nilipita iko kwenye viwango vya juu sana Hongera DENMARK
Wachina wajenge mitalo ya maji machafu ndiyo kazi inayofaa.
 
How can someone tell the difference in qualities by just looking at the picture? Please help me.......
Mbona nyembamba hivyo
Ndugu Kwisimila , kama umefika Barabara ya Kilwa(ambayo ni mpya) swali lako laweza jibika, quality ya barabara vile vile inayao comfort level.
Barabara hii si nyembamba, nakuwekea hii picha nyingine.Kati ya hiyo mistari myeupe na ile mistrai ya njano kuna mita 6.5 , hii ni international standard. Mabega(shoulders), ni mapana karibia mita 2.
Hebu tazama hii picha sasa, itsa an optical illusion, barabara inaonekana nyembamba.
Hii barabara ni ya kimataifa.
CIMG0023.JPG
 
View attachment 39658
Mmmh! OK
 
Mkuu asante kwa picha kubwa na maeleweshano, ila barabara kuu kama hizi wangejitahidi angalu wazifanye ziwe dual carriage ili kupunguza ajali
 
Mafisadi wa Tanroads wanawapenda sana WACHINA kwasababu ya RUSHWA wanayowahonga; hawa wazungu hawatoi ndio maana hawapati miradi mingi ingawa kazi yao ni ya kuridhisha.
 
Point of correction majimoto Tunduma to S'wanga kuna pacakage 3 hawa wamepewa moja tuu na the rest ni wachina.Na ukienda kule ndo utaona tofauti yao na wachina yaani ni anga vs ardhi
Ila hawa JV&Aarself ndo wameongezewa kipande mpka mafinga
Kumbuka wakati wachina wanajenga kwa km less than a billion hawa jamaa wanakwenda mpka 1.3bill kwa km
 
It is true hawa jamaa mimi mwenyewe nimewakubali kwani nillikuwa mitaa ya Iringa mwezi wa nane nilikuwa nawaona wanavyoitengeneza toka stage moja kwenda nyingine real hawachakachui aisee kumi na mbili mzungu yupo site watu wanapiga kazi na unaona stage zao real they are gud.Lakini serikali yetu watu hao haiwapendi wanataka kuchakachua
 
Napendekeza serikali ingewapa tena kazi ya kutengeneza barabara zingine hawa jamaa, wachina wapewe kazi za kujenga madaraja sio barabara za lami.hiyo barabara hata mie nilipita iko kwenye viwango vya juu sana Hongera DENMARK
Wachina wakitengeneza madaraja si ndio tutatumbukia humo wote!!!!
 
Back
Top Bottom