Hawa WABUNGE WETU NA TBC

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Kuna matukio mengi ambayo yanayotokea yenye maslahi kwa umma wa walipakodi wa nchi hii,hasa kipindi hiki cha mchakato wa mabadiliko ya katiba.na TBC ilipaswa kuonyesha live.Lakini badala yake chombo hiki cha walipakodi kinatumika kwa maslahi ya watawala kwa kuweka vipindi vya ki-kampeni zaidi..je hili WABUNGE WETU HAWALIONI............????
 
Ni kweli, TBC inakoelekea sio kuzuri; hivi sasa inaelekea watu makini wamekwishaanza kususia katika kushiki kwenye baadhi ya vipindi vyao, inaishia kuwashirikisha vilaza tu. Jambo la kuzingatia ni kwamba watanzania sio wajinga, wakishangamua kuwa TBC inaendeshwa kama chombo cho propaganda watakisusia
 
Back
Top Bottom