Hawa wabunge nimewakubali hawana makuu

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
ilolo.jpg
wabunge wakichambua dagaa katika harakati zao kuandaa msosi
huko ilolo -iringa (hawana mambo ya kujikuza kuza kabisa)
ilolo 1.jpg
mpambanaji akikata menu
safi sana
sio wasani wakiimba single moja tu wanataka kula holiday inn kila mchana
 
naomba PM ya hiyo taarifa mkuu
hata hapa sijaona kosa langu bado, maana
hata wana siasa ni maarufu kutoka na kazi zao
hivyo inakuwa vigumu kutambua hiyo mipaka ya politics uliyotoa warning
naomba tuwekane sawa,
kwa mtazamo wangu hii picha ni zaidi ya politics inamafunzo mengi sana ndani yake, kama mwenyewe ZITTO hapendi itumike ni sawa nitaheshimu haki zake kama binadamu.
warning: THESE PICTURES ARE strictly for political use only!
 
Nimevutiwa na picha ya pili muheshimiwa Zuberi kwa mkao aliokaa inaonyesha ni namnagani vipi anadumisha mila na desturi za kiafrika katika kula safi sana nakupa 5 Muheshimiwa Zito!
 
warning: THESE PICTURES ARE strictly for political use only!
Inaweza iwe hivyo, lakini kwa kiasi kikubwa natofautiana na wewe. Wengi wetu tunaotoka katika jamii za Kitanzania, kukaa mkao wa kula wa namna hiyo ni kitu cha kawaida. Hata mimi nikienda kijijini, nakaribishwa chakula namna hiyo. Mara nyingi nimekuwa nikienda kwenye mifugo, nachinjiwa mbuzi, inachunwa na nyama kuchomwa na kupikwa. Wakati wa kula inabidi ushindane na nzi, lakini katika settings zetu hicho ni kitu cha kawaida tu.
 
Back
Top Bottom