Hawa viongozi wetu wanayo nia ya kweli??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mimi nashindwa kuele ka viongozi wetu wanakuwa na nia yakweli kuhusu hii nchi?kwani mbona kama wanaichukuliakama siyo nchi yao na wala siyo wajibu wao kutumikia wananchi??Kwani nivitu vingi vinafanyika lakini wenye dhamana wanatizama na awasemi kitu chochote,kweli serikali ilikuwa haijui kuvunja mkataba na dowans,lingeleta tatizo??jr mwanasheria waserikali nini jukumu lake??je mikataba mibovu inaingiwa na nani na mwanasheria anakuwa wapi??au afai kuwa kwenye nafasi hiyo??
 
Unataka kugusa mambo ya kikubwa weeeewe koma kabisa.

Mikataba inaingiwa na cabinet zima kwa kushauriana hivyo wote ni mafisadi na wezi watupu mkuu wa cabinet naye huwepo kuongoza vikao kwa hiyo nae ni .....
 
Back
Top Bottom