Hawa Vijana wa BAGAMOYO ni kundi lipi la CELEBRIETIES!

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
412
90
Siku ya leo majina haya yamekuwa yakitajwa sana ndani ya vyombo vya habari hapa Nchini kutokana na tukio walilofanya. Majina hayo ni pamoja na;

1. Hamis Timbwa
2. Frank Jackson
3. Emmanuel Antony
4.Frank Kanya
5. Fadhil Nassoro
6. Benjamin Frank

Hawa ndio vijana waliofikishwa Mahakamani leo kujibu shitaka la KUMBAKA Mwalimu wao kwa zamu (almaarufu kama kupiga Mande). Ila all in all huyo namba 4 yani jina lake tu balaa moja kwa moja......... Mkuu wetu wa Kaya naye wa huko huko na vijana wao ndio hawa, kwa kweli kwa miaka yetu hata kumsalimia Mwalimu kwa kumpa mkono ilikuwa ishu ila kizazi hiki cha JK kwa kweli wamethibitisha jambo lingine kabisa. Waungwana hili ni kundi lipi???
 
kizazi cha nyoka ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom