Hawa TRA hawaruhusiwi?

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
P. No za gari za Tanzania lol!

Nimeona T .... ASS na akifika F WATAWEKA FUK S wataweka SEX?

Swali je hawaruhusiwi kuruka No?
 
P. No za gari za Tanzania lol!

Nimeona T .... ASS na akifika F WATAWEKA FUK S wataweka SEX?

Swali je hawaruhusiwi kuruka No?

kwani kosa lipo wapi hapo? mi nina gari ina namba T1..ASS na nishaziona nyingine nyingi tu.
subiri ikifika herufi C utaona T...CCM, T...CDM, T...CUF n.k
 
Mh maneno mengine makali, hiyo ccm na cdm haina maana mbaya hiyo sex, fuk, nk mwanangu!
 
P. No za gari za Tanzania lol!

Nimeona T .... ASS na akifika F WATAWEKA FUK S wataweka SEX?

Swali je hawaruhusiwi kuruka No?

Mi naona wangetakiwa kuyaona hayo na kuruka baadhi ya hizo namba, nchi zingine wanaruka
 
kwani kosa lipo wapi hapo? mi nina gari ina namba T1..ASS na nishaziona nyingine nyingi tu.
subiri ikifika herufi C utaona T...CCM, T...CDM, T...CUF n.k

Hakuna kosa maana ya hilo neno ass!
 
Back
Top Bottom