Hawa Tigo wataacha lini huu upumbavu

Jana mi nimejikakamua kwa huu uchumi mgumu nikaweka kisalio cha sh 2000 ili niwasiliane na jamaa zangu. Kama kawaida yetu tuliowengi baada ya maongez kuangalia salio nikakuta 1500 na ushee. Pasipo kumpigia mtu yeyote tena leo naangalia salio nakuta sh 6.0 na sijajiunga na promotion yoyote mana hata wakinitumia masms yao huwa siyasomi nadelete juu kwa juu. Hv hii kero itaisha lini mana kwa hakika wanenikwaza na nimewatukana matusi magumu ambayo hata kuandika siwez. Jaman nisaidien nifanyeje mana hata hao customer care wao hata uwatafute siku nzima unaweza usiwapate.

mkuu sasa umemtukana nani? kama customer care hujawapata. au umeitukana computer?
 
nimejiunga kwenye moja ya kifurushi cha internet

cha kushangaza hapa nilipo wanaendelea kunikata pesa
 
Mimi nilienda headoffice na barua kutoka kwa lawyer wangu kwamba sitaki msg ya promotion yoyote hadi niwandikie barua rasmi sijaona tena hayo sms..fanya hivyo haraka..
Hahahaha TROPICAL wewe noma,umenichekesha hapa mpk mbavu zinauma. Wewe huwezi kudhulumiwa kirahis, kama sms unatumiwa bure na ukatafuta Lawyer uzizuie, je vp ungeliwa pesa na tiGO? Dah nimeipenda hii hahaha
 
Tigo nimeacha kutumia maana kama unaweka pesa na zinakatwa bila kuwasiliana na mtu yeyote sasa hiyo tigo ya nini Hamia Airtel au Voda
 
Mimi nilienda headoffice na barua kutoka kwa lawyer wangu kwamba sitaki msg ya promotion yoyote hadi niwandikie barua rasmi sijaona tena hayo sms..fanya hivyo haraka..
Hahahaha TROPICAL wewe noma,umenichekesha hapa mpk mbavu zinauma. Wewe huwezi kudhulumiwa kirahis, kama sms unatumiwa bure na ukatafuta Lawyer uzizuie, je vp ungeliwa pesa na tiGO? Dah nimeipenda hii hahaha
 
Mimi huwa siitumii sana. Niliweka 500.
Nikaitoa line. Siku ya pili naweka line imebaki 166.
Huu ni wizi wa wazi. Tuwahame enmass.
 
Back
Top Bottom