Hawa TIC vipi na website yao?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Niko mamtoni na muwekezaji...tunajaribu kufungua http://www.tic.co.tz/ haifunguki na jamaa nanataka kuja kufungua shamba la kuku na kiwanda cha kusindika nyama vitakavyo ajiri zaidi ya watu 300....mzungu kawiva kwelikweli...sijui nifanyeje
 
Yani kwanza investment centre ya bong imekunyia favor. chukua dili lako wewe mwenyewe. Here are the steps if you can not get help from the center.

1. Fungua Biashara Bongo. Au tafuta mtu mwenye biashara kama hiyo, kule nyumbani mshirikiane hata kidogo. (lamuhimu biashara halali na inalipa tax)

2. Mwambie mzungu wako aliewiva, kua kuna biashara inataka ishirikiane nae. Lazima atesema ipi?

3. Akikubali nenda benki watakusaidia kumaliza kila kitu wao wenyewe, yaani makaratasi kibao, design kama vile saini hapa saini pale mara mwana you closed the deal. na vimbanga vyako halili uyoooo!! mamtoni sio. au the beaches in dar, i know its kinda nice. or wekeza kungine au humo humo kwenye biashara yako kwa maendeleo zaidi

Na wala asitaki kujifanya hakuamini (na wewe natumaini ni mwaminifu- Utapeli ni noma sana, nadhani unajua)' akukatie kakitumbua kadogo. Kumbuka, wewe ndio una njia ya kumpatishia hela yeye sana na kuwiva kwake kote. sawa mkuu. Kwa hiyo yeye anashida zaidi yako. wewe ukikataa tafuta mungine. Hela ziko karibu yako la muhimu ni UAMINIFU, na utekelezaji wa mambo kufikia malengo yako. Website ya sentre haifanyi kazi. By the way Safari, soon ntakumwagia kitu unachofuta na Jua ulichokua unatafuta. thank you for your posting.
 
Mimi nimemweleza kuwa moja ya taratibu kwa wawekezaji wa nje ni kupitia TIC kwanza...sasa huku aliko ni rahisi zaidi kwa internert...ndio hivo website haifunguki....jamaa anaona kama namdanganya
 
@Safari, :) haukunielewa. Nasema tena, centre ikiwa busy au kuna hitilafu, kuna njia nyingi sana sana za kupata information uliokua unatafuta!
Habari za utapeli si kuumanisha wewe, mkuu!!!! Safari endeleza discusion. kuna wetu wanasubiri result of your endevor.
 
Mkuu safari hongera kwa wazo lako na pia hongera kwa determination yako!

Utafika tu!

Namfamu mtu TIC nimemlalamikia kwa niaba yako! Kilio chako kimefika ingwa sio rasmi!
 
@Safari, :) haukunielewa. Nasema tena, centre ikiwa busy au kuna hitilafu, kuna njia nyingi sana sana za kupata information uliokua unatafuta!
Habari za utapeli si kuumanisha wewe, mkuu!!!! Safari endeleza discusion. kuna wetu wanasubiri result of your endevor.

Asante kaka.....niliudhika sana kwa kweli...ni aibu sana unapokuwa ugenini halafu unapata aibu kama hii
 
Kwa Hongera!!!!! Kuna mkuu kajitokeza: Ukipata tatizo ambalo hupati msaada karibu, tafadhali rudi,. Tanzanian Investment Centre nadhani ni kerefu chake. Ni TSI ya Tanzania: Ninavodhani kama Mr. Marley alivosema "Ikiwa mlango mmoja umefungwa,(jaribu milango myingine)kwani huwezi kujua kua kuna milango mingine iko wazi" Nashukuru tumefanikiwa,. Na huyu mkuu aliejitokeza imekua rehema,. Mungu afanikishe malengo yako!. amina
 
Tatizo ni wawekezaji wanagapi duniani wanaojaribu kufungua hii website bila mafanikio?ni opportunities ngapi watanzania wanazikosa kama ajira,biashara nk just because some nutter like Ole Naiko doesn't know the importance ya website duniani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom