Hawa sikuwaacha Chit Chart kabisa, wamekuja lini?

Erickb52 acha kujipendekeza kwa zinduna.
Kwanza zinduna pole mwaya,nasikia umeanguka yudabliyutii dodoma,in real life kumbe we ni mama kilango? Unatisha kama tsunami!

Ndiyo maana kamwagwa basi , kumbe Kilango tu? Angekua Jilango ama Lango angepiga bao!
 
Last edited by a moderator:
ok mashair yasema hivi;verse 1: wamenieleza matatizo yakooo ...ooooh wamenieleza matatizo ya mume wako....na kisa cha we cherry zinduna kufika kupewa talaka photoalbum yaleta balaa katikat ya darisalama.......kisa ni picha ilopigwa zamani katkat ya mji wa mwanza chorus:cherry zinduna nakupa pole zinduna....

Hilo song la Zahir Ally Zoro akiwa na Kimulimuli Jazz! Linaitwa foto albam. Umenikumbusha mbali sana Ciello. Nimeucheza sana ukiwa una"heat!"
 
Last edited by a moderator:
Show, inaanza next a wiki ijayo na hapa chini ni wageni watakaohusishwa:

1. BADILI TABIA atahusika juma la wahed

2. manoah atahusika juma la sinina

3. Madame B atahusika juma la thalatha

4. Ruttashobolwa atahusika juma la Arba

5. King'asti atahusika juma la hamsa

6. Baba V atahusika juma la sitaa

7. lara 1 atahusika juma la sabaa

8. platozoom atahusika juma la themania

9. Ciello atahusika juma la tisaa

10. Arushaone atahusika juma la ashara
Kipipi atakuwa standby ku-take over iwapo kuna atakayejitoa.

Kila mmoja anatakiwa kuthibitisha uwepo wake ili kupanga ratiba.

Nawasilisha

bring the show, nathibitisha
 
Last edited by a moderator:
Duh..miye ni mgeni humu,ila huyu Zinduna mbona anataka kujionesha kwamba ni kiboko yetu siye vidume vya mbegu....Nakuandalia sredi bibiye,ukitoka humo,miye nahamia mchambawima pale karibu na mavuzini PEMBA...LOL
 
Show, inaanza next a wiki ijayo na hapa chini ni wageni watakaohusishwa:

1. BADILI TABIA atahusika juma la wahed

2. manoah atahusika juma la sinina

3. Madame B atahusika juma la thalatha

4. Ruttashobolwa atahusika juma la Arba

5. King'asti atahusika juma la hamsa

6. Baba V atahusika juma la sitaa

7. lara 1 atahusika juma la sabaa

8. platozoom atahusika juma la themania

9. Ciello atahusika juma la tisaa

10. Arushaone atahusika juma la ashara
Kipipi atakuwa standby ku-take over iwapo kuna atakayejitoa.

Kila mmoja anatakiwa kuthibitisha uwepo wake ili kupanga ratiba.

Nawasilisha


Zinduna... Mtoto unamambo wewe.... nice day
 
Show, inaanza next a wiki ijayo na hapa chini ni wageni watakaohusishwa:

1. BADILI TABIA atahusika juma la wahed

2. manoah atahusika juma la sinina

3. Madame B atahusika juma la thalatha

4. Ruttashobolwa atahusika juma la Arba

5. King'asti atahusika juma la hamsa

6. Baba V atahusika juma la sitaa

7. lara 1 atahusika juma la sabaa

8. platozoom atahusika juma la themania

9. Ciello atahusika juma la tisaa

10. Arushaone atahusika juma la ashara
Kipipi atakuwa standby ku-take over iwapo kuna atakayejitoa.

Kila mmoja anatakiwa kuthibitisha uwepo wake ili kupanga ratiba.

Nawasilisha


Kibibi mi nitakuwepo, alafu mbona unaandika kipemba? Juma la sinina ndio.....
 
aiiiiiiiiiii Zinduna karibu......
tulikumiss jamvini.....
kuna vijanaume vinahitaji kurekebishwa tabia humu...




Mwe, mwenzenu mie sikuwapo mahala hapa kwa miezi kadhaa, leo kuingia tu humu Chirt Chat nakutana na watu wapya kibaao, hata siwafahamu mie, basi kama isingekuwa kumuona Bishanga, wallaahi ningedhani nimepotea jukwaa...

1. lara 1, huyu sijui Mchaga maana nimepitia posti zake apenda hela huyoooo

2. snowhite, huyu sijui binti au jimama la makamo, nimesoma posti zake lakini naona 50/50

3. Ciello, haka kanaonekana mapepe kaa nini, nimekaona kanavyogonganisha magari Mtambuzi na manoah

4. Natalia huyu khaa! Apenda sifa huyo, kumbe kwao uswazi tu mitaa ya Tandale Popo Bawa kazi kujikweza tu humu.

5. charminglady huyu sina hakika kama nilimwacha huyu, lakini labda alikuwa huko kwenye majukwa ya wakuda, hakuw ahapa huyu

6. wakati ndio sasa huyu njuka kabisa huyu, karibu chit chart, naamini umeshapazoea mahali hapa

7. Asulo, huyu naye huyu kuku mgeni tu huyu, bado anayo kamba mguuni

8. Arabela, huyu naye huyu, bado ana tongotongo usoni karibu sana shosti, nilikuwa sipo, sas nimerejea

9. pretty n, huyu ni mutu ya R Chuga kwa akina Erickb52, karibu be dada

10. nivea, huyu nahisi nilimwacha ndo kuku mgeni alikuw ahajaanza kuchangamka..

11. Arushaone, huyu naye chalii yangu, wa R Chuga, kule anajuliakana kwa jina la Nyoka Mzee, karibu kaka mkubwa

12. Madame B, shostito, pole na msiba, nasikitika sikuweza kukutumia salaam za rambirambi mapema, karibu sana kijiweni, nasikia wanakuita pacha wangu, bado nafuatilia posti zako ili kujiridhisha kama una uwezo unaofanana na wa kwangu

Haya wote nilowataja na wale nisiowataja karibuni sana Jamvini kwa taarifa yenu miimi ndio kiboko ya wanaume humu Jamvini, niliwakimbiza kule Jukwaa la Wakubwa mwana ukome, hawana hamu na mimi, wakiona avatar yangu vibamia vyao vinasinyaa kama tembele la mwanakwerekwe..

Ndimi Zinduna
 
Last edited by a moderator:
no problem madame Zinduna


Show, inaanza next a wiki ijayo na hapa chini ni wageni watakaohusishwa:

1. BADILI TABIA atahusika juma la wahed

2. manoah atahusika juma la sinina

3. Madame B atahusika juma la thalatha

4. Ruttashobolwa atahusika juma la Arba

5. King'asti atahusika juma la hamsa

6. Baba V atahusika juma la sitaa

7. lara 1 atahusika juma la sabaa

8. platozoom atahusika juma la themania

9. Ciello atahusika juma la tisaa

10. Arushaone atahusika juma la ashara
Kipipi atakuwa standby ku-take over iwapo kuna atakayejitoa.

Kila mmoja anatakiwa kuthibitisha uwepo wake ili kupanga ratiba.

Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom